kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Makonda alikuwa jambazi na mhalifu kama vibaka wengine mwache ajibu mashtaka!Sasa kila kitu kimeanza kuwa wazi kuwa kumbe hili taifa lina watu wasiofaa kabisa.
Ukiwadhibiti ili wasifanye uovu watakuvizia kwa kila namna ili mradi tu walipe kisasi sababu tu uliwadhibiti wasifanye uovu.
Makonda aliwadhibiti wanasiasa waovu, wauza unga, wakora wa kila aina. Sasa ndio wanataka kupata kuungwa mkono na umma wa Watanzania ili walipe kisasi chao.
Wananchi wa kawaida hawataki upuuzi kama huu.