Mashoga (Kaka Poa) wanavunja ndoa za watu: Dada zetu inabidi mpambanie ndoa zenu

Mashoga (Kaka Poa) wanavunja ndoa za watu: Dada zetu inabidi mpambanie ndoa zenu

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja alimfukuza mkewe na watoto na kuanza kuishi na "kaka poa" (shoga).

Kwa maelezo ya wenyeji, huyo kaka poa hakuonesha dalili zozote za kuwa shoga. Badala yake, alijulikana kwa shughuli nyingi zinazowaletea vijana kipato, kama ufundi wa bodaboda na kuendesha bodaboda. Mara nyingi, alionekana amekaa nje ya nyumba ya huyo kijana mwenye familia. Kumbe, usiku wa manane vijana wengine wanapotawanyika kutoka kwenye kijiwe, kaka poa huyo alikuwa wa mwisho kuondoka. Wakati huo, ndipo walikuwa wakikutana chooni kufanya yao. Mke wa jamaa alidhani mumewe anaenda kuvuta sigara!

Siku moja, mkewe aliamua kufuatilia na kufanya fumanizi. Alipogundua mke mwenza si mwanamke bali kaka poa, alijaribu kuokoa ndoa chinichini kwa kumpa ofa mumewe: kama "kupenda kwa mpalange" ndio tabia yake, basi awe anapata kwake kama mke halali. Hata hivyo, jamaa hakusikia, hali iliyosababisha fumanizi la pili. Safari hii, mke alitoa ultimatum: aidha yeye au kaka poa. Jamaa alivyokuwa bado hajajitambua, mke akaona bora afunge virago vyake na vya watoto na kuondoka.

Haikuchukua muda, nyumba ndogo (kaka poa) ikahamia rasmi pale nyumbani. Penzi lao lilijulikana mtaa mzima, na cha kushangaza ni kwamba kaka poa alikuwa akihudumiwa vyema kuliko hata mke na watoto walivyokuwa wakihudumiwa.

Maneno ya mtaani yalipomfikia mke wa zamani, akaamua kuwashirikisha ndugu wa mumewe. Baba mkwe na kaka wa mumewe waliingia mtaani na kumtembeza kichapo kizito kaka poa. Hadi sasa, mke amerudi nyumbani, lakini mume hajathubutu kurudi mtaa huo. Habari za chinichini zinasema mipango inaendelea ili familia ihame kabisa kutokana na aibu kubwa.

Dada zetu, mjihadhari katika ndoa hizi za sasa. Maana hizo "papuchi" zenu tayari zimepata mbadala mtaani. Kaka poa hawahitaji matumizi makubwa kama nyie, na kwa hali kama ya jamaa huyu, hata akikosa pesa anajua "mke no. 2" atakula ugali na dagaa bila manung’uniko!

EDIT: SABABU ZINAZOSABABISHA NDOA ZA DADA ZETU ZINAINGILIWA NA MAKAKA POA

Tatizo nadhani ni hizi hulka za wanawake zetu; unakuta mwanaume anatimiza majukumu yake kadri ya uwezo wake lakini bado haonekani anafanya kitu cha maana; kila siku hataki "uvute sigara" (wakati alikukubali ukiwa unafanya hivyo), hataki marafiki zako, hataki nywele zako zilivyo, ana maindi kwanini humpi pesa kama jinsi mme wa shosti yake anavyofanya na mengine mengi wakati hawa makaka poa unakuta kwa asilimia kubwa kuna uhalisia wa aina mbili:

1. Wengi wamepitia ukatili kutoka kwa wanaume mbalimbali; ubakaji, vipigo, kuna wanaotembea nao na wanaishia kuwaacha kwa kinyaa..... Sasa imagine kaka poa wa aina hii akakutana na mwanaume ambayo hajaonesha sifa zote hapo juu na mwanaume huyo kwenye ndoa yake mambo sio shwari yaani hapa kama wewe ni mke utaona picha zote maana huyo mumeo ambaye unamuumiza kichwa hawezi umizwa kichwa na "mwanaume" mwenzake kama unavyomuumiza wewe (sidhani kuna shoga anasumbua bwana wake kwa mambo madogo madogo kama pedi na vocha 🤣)

2. Wanasema kuishi na mwanamke unahitaji akili nyingi hivyo kwa makaka poa sidhani zinahitajika akili nyingi maana kwenye nyumba mnakuwa "wanaume" wawili ; yaani hapo mshkaji akirudi patupu kaka poa sio wa kuuliza "sasa tunafanyaje" lazima atakuwa na solution ya cha kufanya maana mwanaume hajaumbwa kulelewa kama mtoto (mwanamke ndio kuambiwa akili ya kukutegemea mpaka kwa pedi za hedhi yake mwenyewe)
 
Sitasahau siku nilinunua dada poa...kwanza hakutaka kujeuka mbele...(Kwa wanunuaji mnajua kabisa mbuzi kagoma lazima uongeze hela)..ila iyo aliitega mwenyewe...nilivyomaliza zangu akili ya juu ilivyorudi nikaangalia vizuri naona muscles and masculinity features... Khaaa 🚮🚮 siku hiyo nilichukia sana na ndo kuacha kula wadangaji wembamba ...lile lilikua shoga 😭😭
 
Sitasahau siku nilinunua dada poa...kwanza hakutaka kujeuka mbele...(Kwa wanunuaji mnajua kabisa mbuzi kagoma lazima uongeze hela)..ila iyo aliitega mwenyewe...nilivyomaliza zangu akili ya juu ilivyorudi nikaangalia vizuri naona muscles and masculinity features... Khaaa 🚮🚮 siku hiyo nilichukia sana na ndo kuacha kula wadangaji wembamba ...lile lilikua shoga 😭😭
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sitasahau siku nilinunua dada poa...kwanza hakutaka kujeuka mbele...(Kwa wanunuaji mnajua kabisa mbuzi kagoma lazima uongeze hela)..ila iyo aliitega mwenyewe...nilivyomaliza zangu akili ya juu ilivyorudi nikaangalia vizuri naona muscles and masculinity features... Khaaa 🚮🚮 siku hiyo nilichukia sana na ndo kuacha kula wadangaji wembamba ...lile lilikua shoga 😭😭
mmmh, kwani hukushtuka inakoingia, au ulidhamiria hata angekuwa mwanamke usingetumia njia ya kawaida
 
Kwa sasa hivi hii inshu ya washkaji kuishi na mashoga imeshika kasi kweli vijibweni tu pale kuna mwamba anaishi na shoga na huyo shoga anajiremba na kujipodoa kama mwanamke na ana muonekano wa kike kabisa na huwezi kujua kama ni mwanaume.

Anapika, anaosha vyombo anamfulia jamaa na usiku anampa jamaa penzi kama kawa.

Juzi kati hapa watu ndo wameshtuka jamaa anaishi na shoga.
 
Back
Top Bottom