Mashoga (Kaka Poa) wanavunja ndoa za watu: Dada zetu inabidi mpambanie ndoa zenu

Sitasahau siku nilinunua dada poa...kwanza hakutaka kujeuka mbele...(Kwa wanunuaji mnajua kabisa mbuzi kagoma lazima uongeze hela)..ila iyo aliitega mwenyewe...nilivyomaliza zangu akili ya juu ilivyorudi nikaangalia vizuri naona muscles and masculinity features... Khaaa 🚮🚮 siku hiyo nilichukia sana na ndo kuacha kula wadangaji wembamba ...lile lilikua shoga 😭😭

Ulikula kasa.
 
Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja alimfukuza mkewe na watoto na kuanza kuishi na "kaka poa" (shoga).

Kwa maelezo ya wenyeji, huyo kaka poa hakuonesha dalili zozote za kuwa shoga. Badala yake, alijulikana kwa shughuli nyingi zinazowaletea vijana kipato, kama ufundi wa bodaboda na kuendesha bodaboda. Mara nyingi, alionekana amekaa nje ya nyumba ya huyo kijana mwenye familia. Kumbe, usiku wa manane vijana wengine wanapotawanyika kutoka kwenye kijiwe, kaka poa huyo alikuwa wa mwisho kuondoka. Wakati huo, ndipo walikuwa wakikutana chooni kufanya yao. Mke wa jamaa alidhani mumewe anaenda kuvuta sigara!

Siku moja, mkewe aliamua kufuatilia na kufanya fumanizi. Alipogundua mke mwenza si mwanamke bali kaka poa, alijaribu kuokoa ndoa chinichini kwa kumpa ofa mumewe: kama "kupenda kwa mpalange" ndio tabia yake, basi awe anapata kwake kama mke halali. Hata hivyo, jamaa hakusikia, hali iliyosababisha fumanizi la pili. Safari hii, mke alitoa ultimatum: aidha yeye au kaka poa. Jamaa alivyokuwa bado hajajitambua, mke akaona bora afunge virago vyake na vya watoto na kuondoka.

Haikuchukua muda, nyumba ndogo (kaka poa) ikahamia rasmi pale nyumbani. Penzi lao lilijulikana mtaa mzima, na cha kushangaza ni kwamba kaka poa alikuwa akihudumiwa vyema kuliko hata mke na watoto walivyokuwa wakihudumiwa.

Maneno ya mtaani yalipomfikia mke wa zamani, akaamua kuwashirikisha ndugu wa mumewe. Baba mkwe na kaka wa mumewe waliingia mtaani na kumtembeza kichapo kizito kaka poa. Hadi sasa, mke amerudi nyumbani, lakini mume hajathubutu kurudi mtaa huo. Habari za chinichini zinasema mipango inaendelea ili familia ihame kabisa kutokana na aibu kubwa.

Dada zetu, mjihadhari katika ndoa hizi za sasa. Maana hizo "papuchi" zenu tayari zimepata mbadala mtaani. Kaka poa hawahitaji matumizi makubwa kama nyie, na kwa hali kama ya jamaa huyu, hata akikosa pesa anajua "mke no. 2" atakula ugali na dagaa bila manung’uniko!
Mwanamke ni mwanamke na K itabaki kuwa K.Mwanamke ana maeneo mengi ya kupandisha nyege kwa mwanaume ana matako,chuchu, sauti, ngozi laini, midomo,G Sport ,Clitolysis,mashavu ya K,mapaja nk.Sema ndio hivyo huyo jamaa amaeamua mwenye kwa utashi wake duni kudate na hilo pust.
 
Kuna shoga mmoja nilikutana nae kwenye semina ya masuala ya UKIMWI mwaka 2011, kwanza yule shoga alijiweka wazi kabisa kuwa yeye ni shoga.
Siku moja muda wa lunch tumekaa meza moja na dada mmoja ambae ni mkufunzi kwenye hiyo semina akawa anamdadisi maswali kadhaa.
Yule Shoga huku akiongea kwa kujiamini alimwambia kuwa mimi nakuzidi ujuzi wa kitandani na nikitembea na mume wako tunakuwa wake wenza. Yule mkufunzi alikataa kuwa haiwezekani akajibiwa kama unabisha nitambulishe kwa mumeo uone nini kitakachotokea.
Mungu atuepushie kikombe hiki.
Wanaune tunapitia majaribu magumu sana
 
Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja alimfukuza mkewe na watoto na kuanza kuishi na "kaka poa" (shoga).

Kwa maelezo ya wenyeji, huyo kaka poa hakuonesha dalili zozote za kuwa shoga. Badala yake, alijulikana kwa shughuli nyingi zinazowaletea vijana kipato, kama ufundi wa bodaboda na kuendesha bodaboda. Mara nyingi, alionekana amekaa nje ya nyumba ya huyo kijana mwenye familia. Kumbe, usiku wa manane vijana wengine wanapotawanyika kutoka kwenye kijiwe, kaka poa huyo alikuwa wa mwisho kuondoka. Wakati huo, ndipo walikuwa wakikutana chooni kufanya yao. Mke wa jamaa alidhani mumewe anaenda kuvuta sigara!

Siku moja, mkewe aliamua kufuatilia na kufanya fumanizi. Alipogundua mke mwenza si mwanamke bali kaka poa, alijaribu kuokoa ndoa chinichini kwa kumpa ofa mumewe: kama "kupenda kwa mpalange" ndio tabia yake, basi awe anapata kwake kama mke halali. Hata hivyo, jamaa hakusikia, hali iliyosababisha fumanizi la pili. Safari hii, mke alitoa ultimatum: aidha yeye au kaka poa. Jamaa alivyokuwa bado hajajitambua, mke akaona bora afunge virago vyake na vya watoto na kuondoka.

Haikuchukua muda, nyumba ndogo (kaka poa) ikahamia rasmi pale nyumbani. Penzi lao lilijulikana mtaa mzima, na cha kushangaza ni kwamba kaka poa alikuwa akihudumiwa vyema kuliko hata mke na watoto walivyokuwa wakihudumiwa.

Maneno ya mtaani yalipomfikia mke wa zamani, akaamua kuwashirikisha ndugu wa mumewe. Baba mkwe na kaka wa mumewe waliingia mtaani na kumtembeza kichapo kizito kaka poa. Hadi sasa, mke amerudi nyumbani, lakini mume hajathubutu kurudi mtaa huo. Habari za chinichini zinasema mipango inaendelea ili familia ihame kabisa kutokana na aibu kubwa.

Dada zetu, mjihadhari katika ndoa hizi za sasa. Maana hizo "papuchi" zenu tayari zimepata mbadala mtaani. Kaka poa hawahitaji matumizi makubwa kama nyie, na kwa hali kama ya jamaa huyu, hata akikosa pesa anajua "mke no. 2" atakula ugali na dagaa bila manung’uniko!
Elewa kuna mashoga wameoa na wanafamilia.
Wanajificha humo kwasababu jamii haiwakubali na sheria zinabana.
Kifupi wako wengi sana
 
Kuna mdau apo juu anasema nilikula kasa...khaa ....***** ukaguzi muhimu sana..na hasa percentage ya Alcohol ikiwa above Radar hazisomi sawa sawa
Inaonekana ndo michezo yako na umewala wengi
 
Kama ulisikia uko kulikuwa na ulazima gani kuja kusimulia huku ungekaa kimya tu as long as haijakudhuru chochote.
 
Ukikuta wanaume wanavopiga vita mashoga kama sio wao faraghani wanaoishi nao huko faraghani....
Zilonga mbali zitendwa mbali🙌🙌
Jamani, wanaume haturuhusiwi kuutahadharisha umma juu ya kinachoendelea kwenye jamii ya wanaume? Maana sio poa tunakaa vijiweni kumbe kuna washkaji wanatutamani
 
Back
Top Bottom