Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
Kila mahali wapo hata mtaani kwako sema siku hizi watu wanafanya kwa siri huwezi kujua, unaweza kuta hata baadhi ya rafiki zako wanagongana, so hakuna mtu mwenye alam hao unaowaona sijui wamelegea unaweza ukakuta hata sio wako na homon imbalance,Magomeni hasa Kagera,
ni kama imehalalishwa kabisa,
Ukipaki, Washoga nao wanakimbilia gari