Mashoga (Kaka Poa) wanavunja ndoa za watu: Dada zetu inabidi mpambanie ndoa zenu

Wanawake waliobahatika na ndoa wajifunze, alisikika mlevi mmoja nikiwa Arusha sehemu moja inatwa blue stone baada ya kumaliza session pale AICC nikapita kujipa raha nikamsikia kwa masikio yangu mawili kwamba mashoga wanajua kupenda tena umpate aliyeelimika yaan unapendwa hadi raha ila sio hao wanaojichubua kwa kweli, mwenzake akadakia kuwa wanawake ni stress midomo sanaa yaan huna raha hata ya nyumba yako, tendo lenyewe unapewa kijeshi husikii hata miguno ya utamuu yaan waliongea mengi na kwa hili wanawake mjifunze kwa kweli, maana kama dyudyu inaingia mdomoni basi na kwengine inaweza pita.
Hatujifunzi!! Nyie toeni tu mnachoweza kutoa.
 
Tatizo nadhani ni hizi hulka za wanawake zetu; unakuta mwanaume anatimiza majukumu yake kadri ya uwezo wake lakini bado haonekani anafanya kitu cha maana; kila siku hataki "uvute sigara" (wakati alikukubali ukiwa unafanya hivyo), hataki marafiki zako, hataki nywele zako zilivyo, ana maindi kwanini humpi pesa kama jinsi mme wa shosti yake anavyofanya na mengine mengi wakati hawa makaka poa unakuta kwa asilimia kubwa kuna uhalisia wa aina mbili:

1. Wengi wamepitia ukatili kutoka kwa wanaume mbalimbali; ubakaji, vipigo, kuna wanaotembea nao na wanaishia kuwaacha kwa kinyaa..... Sasa imagine kaka poa wa aina hii akakutana na mwanaume ambayo hajaonesha sifa zote hapo juu na mwanaume huyo kwenye ndoa yake mambo sio shwari yaani hapa kama wewe ni mke utaona picha zote

2. Wanasema kuishi na mwanamke unahitaji akili nyingi hivyo kwa makaka poa sidhani zinahitajika akili nyingi maana kwenye nyumba mnakuwa wanaume wawili ; yaani hapo mshkaji akirudi patupu kaka poa sio wa kuuliza "sasa tunafanyaje honey" lazima atakuwa na solution ya cha kufanya maana mwanaume hajaumbwa kulelewa kama mtoto
Utashi ni mzigo mkuu, unakuja na added complications
A funny person you are! Ya’ll want to be women so bad!

Karibuni

😂
 
Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja alimfukuza mkewe na watoto na kuanza kuishi na "kaka poa" (shoga).

Kwa maelezo ya wenyeji, huyo kaka poa hakuonesha dalili zozote za kuwa shoga. Badala yake, alijulikana kwa shughuli nyingi zinazowaletea vijana kipato, kama ufundi wa bodaboda na kuendesha bodaboda. Mara nyingi, alionekana amekaa nje ya nyumba ya huyo kijana mwenye familia. Kumbe, usiku wa manane vijana wengine wanapotawanyika kutoka kwenye kijiwe, kaka poa huyo alikuwa wa mwisho kuondoka. Wakati huo, ndipo walikuwa wakikutana chooni kufanya yao. Mke wa jamaa alidhani mumewe anaenda kuvuta sigara!

Siku moja, mkewe aliamua kufuatilia na kufanya fumanizi. Alipogundua mke mwenza si mwanamke bali kaka poa, alijaribu kuokoa ndoa chinichini kwa kumpa ofa mumewe: kama "kupenda kwa mpalange" ndio tabia yake, basi awe anapata kwake kama mke halali. Hata hivyo, jamaa hakusikia, hali iliyosababisha fumanizi la pili. Safari hii, mke alitoa ultimatum: aidha yeye au kaka poa. Jamaa alivyokuwa bado hajajitambua, mke akaona bora afunge virago vyake na vya watoto na kuondoka.

Haikuchukua muda, nyumba ndogo (kaka poa) ikahamia rasmi pale nyumbani. Penzi lao lilijulikana mtaa mzima, na cha kushangaza ni kwamba kaka poa alikuwa akihudumiwa vyema kuliko hata mke na watoto walivyokuwa wakihudumiwa.

Maneno ya mtaani yalipomfikia mke wa zamani, akaamua kuwashirikisha ndugu wa mumewe. Baba mkwe na kaka wa mumewe waliingia mtaani na kumtembeza kichapo kizito kaka poa. Hadi sasa, mke amerudi nyumbani, lakini mume hajathubutu kurudi mtaa huo. Habari za chinichini zinasema mipango inaendelea ili familia ihame kabisa kutokana na aibu kubwa.

Dada zetu, mjihadhari katika ndoa hizi za sasa. Maana hizo "papuchi" zenu tayari zimepata mbadala mtaani. Kaka poa hawahitaji matumizi makubwa kama nyie, na kwa hali kama ya jamaa huyu, hata akikosa pesa anajua "mke no. 2" atakula ugali na dagaa bila manung’uniko!

EDIT: SABABU ZINAZOSABABISHA NDOA ZA DADA ZETU ZINAINGILIWA NA MAKAKA POA

Tatizo nadhani ni hizi hulka za wanawake zetu; unakuta mwanaume anatimiza majukumu yake kadri ya uwezo wake lakini bado haonekani anafanya kitu cha maana; kila siku hataki "uvute sigara" (wakati alikukubali ukiwa unafanya hivyo), hataki marafiki zako, hataki nywele zako zilivyo, ana maindi kwanini humpi pesa kama jinsi mme wa shosti yake anavyofanya na mengine mengi wakati hawa makaka poa unakuta kwa asilimia kubwa kuna uhalisia wa aina mbili:

1. Wengi wamepitia ukatili kutoka kwa wanaume mbalimbali; ubakaji, vipigo, kuna wanaotembea nao na wanaishia kuwaacha kwa kinyaa..... Sasa imagine kaka poa wa aina hii akakutana na mwanaume ambayo hajaonesha sifa zote hapo juu na mwanaume huyo kwenye ndoa yake mambo sio shwari yaani hapa kama wewe ni mke utaona picha zote maana huyo mumeo ambaye unamuumiza kichwa hawezi umizwa kichwa na "mwanaume" mwenzake kama unavyomuumiza wewe (sidhani kuna shoga anasumbua bwana wake kwa mambo madogo madogo kama pedi na vocha 🤣)

2. Wanasema kuishi na mwanamke unahitaji akili nyingi hivyo kwa makaka poa sidhani zinahitajika akili nyingi maana kwenye nyumba mnakuwa "wanaume" wawili ; yaani hapo mshkaji akirudi patupu kaka poa sio wa kuuliza "sasa tunafanyaje" lazima atakuwa na solution ya cha kufanya maana mwanaume hajaumbwa kulelewa kama mtoto (mwanamke ndio kuambiwa akili ya kukutegemea mpaka kwa pedi za hedhi yake mwenyewe)

chai
 
Lawama kwa mwanamke badala ya mapokeo potofu na kuendekeza tamaa za mwili kati ya watu wa jinsia moja ambao ni wanaume!
 
Kuna mambo ya kijinga nilishakubali yanipite kushoto. Na kwa umri huu naamini sitakuja kuyafanya;

1.Kuvuta bangi au kutumia madawa yoyote ya kulevya.

2.Kuhudhuria casino.

3.Kula kwa mpalange (awe mwanaume au shoga).

Mamamaeeeeeeee kabisaaaaaaaa!!
Nilifiki utaongeza la nne kwamba hautaruhusu mtu aku.... kwa kuwa hujalitaja basi ni jambo ulilolipa kibali
 
Sitasahau siku nilinunua dada poa...kwanza hakutaka kujeuka mbele...(Kwa wanunuaji mnajua kabisa mbuzi kagoma lazima uongeze hela)..ila iyo aliitega mwenyewe...nilivyomaliza zangu akili ya juu ilivyorudi nikaangalia vizuri naona muscles and masculinity features... Khaaa 🚮🚮 siku hiyo nilichukia sana na ndo kuacha kula wadangaji wembamba ...lile lilikua shoga 😭😭
Kah! Ulikuwa umelewa au😂😂😂😂
 
Sasa hao ambao mnawasahau eti kisa mnalinda watoto wenu ndio wanakuja kuwaharibu watoto wenu sasa , huyo mtoto untamlinda 24/7? Hatakuwa na marafiki? Hataona tamaduni ya hawa watu haijatapakaa mtandaoni? Hatahongwa playstation 10 wakati wewe umekataa kumnunulia iphone X 2035?
Wewe unasemea watoto au mume? Mbona sasa hueleweki.!!

Hebu soma tena ulichoandika vizuri, km ni watoto jukumu la wote mume na mke.!!
Ila km ni kumlinda mume km uzi wako unavyosema, Narudia tena hakuna mwanamke wa kufatilia mkundruu wa mumewe anautumia vipi kwenye shughuli zake binafsi…!! Hapo utakuwa umenielewa.
 
Kuna chimbo niliingia na washkaji kupoza koo mitaa ya home karibu na kwa bibi tbt aisee jamaa mwenye nyumba kaibadili nyumba yake kua bar , Jamaa ni shoga . Tukajichanganya kuchukua private room . Yaliyokua yanaendelea mule ni mazito haswa
 
🤔🤔
 
Eeeeh
 
Mke wangu Labella..
 
Kwani na wewe ni shoga? Mbona umeandika kama
Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja alimfukuza mkewe na watoto na kuanza kuishi na "kaka poa" (shoga).

Kwa maelezo ya wenyeji, huyo kaka poa hakuonesha dalili zozote za kuwa shoga. Badala yake, alijulikana kwa shughuli nyingi zinazowaletea vijana kipato, kama ufundi wa bodaboda na kuendesha bodaboda. Mara nyingi, alionekana amekaa nje ya nyumba ya huyo kijana mwenye familia. Kumbe, usiku wa manane vijana wengine wanapotawanyika kutoka kwenye kijiwe, kaka poa huyo alikuwa wa mwisho kuondoka. Wakati huo, ndipo walikuwa wakikutana chooni kufanya yao. Mke wa jamaa alidhani mumewe anaenda kuvuta sigara!

Siku moja, mkewe aliamua kufuatilia na kufanya fumanizi. Alipogundua mke mwenza si mwanamke bali kaka poa, alijaribu kuokoa ndoa chinichini kwa kumpa ofa mumewe: kama "kupenda kwa mpalange" ndio tabia yake, basi awe anapata kwake kama mke halali. Hata hivyo, jamaa hakusikia, hali iliyosababisha fumanizi la pili. Safari hii, mke alitoa ultimatum: aidha yeye au kaka poa. Jamaa alivyokuwa bado hajajitambua, mke akaona bora afunge virago vyake na vya watoto na kuondoka.

Haikuchukua muda, nyumba ndogo (kaka poa) ikahamia rasmi pale nyumbani. Penzi lao lilijulikana mtaa mzima, na cha kushangaza ni kwamba kaka poa alikuwa akihudumiwa vyema kuliko hata mke na watoto walivyokuwa wakihudumiwa.

Maneno ya mtaani yalipomfikia mke wa zamani, akaamua kuwashirikisha ndugu wa mumewe. Baba mkwe na kaka wa mumewe waliingia mtaani na kumtembeza kichapo kizito kaka poa. Hadi sasa, mke amerudi nyumbani, lakini mume hajathubutu kurudi mtaa huo. Habari za chinichini zinasema mipango inaendelea ili familia ihame kabisa kutokana na aibu kubwa.

Dada zetu, mjihadhari katika ndoa hizi za sasa. Maana hizo "papuchi" zenu tayari zimepata mbadala mtaani. Kaka poa hawahitaji matumizi makubwa kama nyie, na kwa hali kama ya jamaa huyu, hata akikosa pesa anajua "mke no. 2" atakula ugali na dagaa bila manung’uniko!

EDIT: SABABU ZINAZOSABABISHA NDOA ZA DADA ZETU ZINAINGILIWA NA MAKAKA POA

Tatizo nadhani ni hizi hulka za wanawake zetu; unakuta mwanaume anatimiza majukumu yake kadri ya uwezo wake lakini bado haonekani anafanya kitu cha maana; kila siku hataki "uvute sigara" (wakati alikukubali ukiwa unafanya hivyo), hataki marafiki zako, hataki nywele zako zilivyo, ana maindi kwanini humpi pesa kama jinsi mme wa shosti yake anavyofanya na mengine mengi wakati hawa makaka poa unakuta kwa asilimia kubwa kuna uhalisia wa aina mbili:

1. Wengi wamepitia ukatili kutoka kwa wanaume mbalimbali; ubakaji, vipigo, kuna wanaotembea nao na wanaishia kuwaacha kwa kinyaa..... Sasa imagine kaka poa wa aina hii akakutana na mwanaume ambayo hajaonesha sifa zote hapo juu na mwanaume huyo kwenye ndoa yake mambo sio shwari yaani hapa kama wewe ni mke utaona picha zote maana huyo mumeo ambaye unamuumiza kichwa hawezi umizwa kichwa na "mwanaume" mwenzake kama unavyomuumiza wewe (sidhani kuna shoga anasumbua bwana wake kwa mambo madogo madogo kama pedi na vocha 🤣)

2. Wanasema kuishi na mwanamke unahitaji akili nyingi hivyo kwa makaka poa sidhani zinahitajika akili nyingi maana kwenye nyumba mnakuwa "wanaume" wawili ; yaani hapo mshkaji akirudi patupu kaka poa sio wa kuuliza "sasa tunafanyaje" lazima atakuwa na solution ya cha kufanya maana mwanaume hajaumbwa kulelewa kama mtoto (mwanamke ndio kuambiwa akili ya kukutegemea mpaka kwa pedi za hedhi yake mwenyewe)
unaf

kwani wewe ni shoga mkuu? Mbona umeandika kwa bakshishi sana?
 
Kuna chimbo niliingia na washkaji kupoza koo mitaa ya home karibu na kwa bibi tbt aisee jamaa mwenye nyumba kaibadili nyumba yake kua bar , Jamaa ni shoga . Tukajichanganya kuchukua private room . Yaliyokua yanaendelea mule ni mazito haswa
Upo ulimwenguni so si kila jambo unalotaka liwe litakuwa kila mtu ana yake. Dunia uwanja wa fujo so ukichunguza sana unaweza kutana na mambo ya ajabu sana. Hao mnaowasema sana wanakuwaga na upendo sana sema tuu kuna wengine wanajichubua hadi kwenye meno, so kila mtu afanye issue zake utaishi vzr. Alaf ujue haya mambo ni kam circle unaweza kuta hata ndugu zako wapo wanaweza kuwa top, verse au bottom so mambo yapo sanaa na yanatendeka sanaa kikubwa usikele jamii
 
Back
Top Bottom