Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
CountrywideDogo una mapepo? Mbona huna adabu na dada zako??
Hayo maswali ya kipuuzi kawaulize watoto wenzio mfyuuu.!! 😏😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CountrywideDogo una mapepo? Mbona huna adabu na dada zako??
Hayo maswali ya kipuuzi kawaulize watoto wenzio mfyuuu.!! 😏😹
Mkuu hata mke azingue kiasi gani, hata awe na makelele na matumizi ya kupitiliza haimpi mtu uhalali wa kwenda kuchokonoa tope la mwanaume mwenzake.Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja alimfukuza mkewe na watoto na kuanza kuishi na "kaka poa" (shoga).
Kwa maelezo ya wenyeji, huyo kaka poa hakuonesha dalili zozote za kuwa shoga. Badala yake, alijulikana kwa shughuli nyingi zinazowaletea vijana kipato, kama ufundi wa bodaboda na kuendesha bodaboda. Mara nyingi, alionekana amekaa nje ya nyumba ya huyo kijana mwenye familia. Kumbe, usiku wa manane vijana wengine wanapotawanyika kutoka kwenye kijiwe, kaka poa huyo alikuwa wa mwisho kuondoka. Wakati huo, ndipo walikuwa wakikutana chooni kufanya yao. Mke wa jamaa alidhani mumewe anaenda kuvuta sigara!
Siku moja, mkewe aliamua kufuatilia na kufanya fumanizi. Alipogundua mke mwenza si mwanamke bali kaka poa, alijaribu kuokoa ndoa chinichini kwa kumpa ofa mumewe: kama "kupenda kwa mpalange" ndio tabia yake, basi awe anapata kwake kama mke halali. Hata hivyo, jamaa hakusikia, hali iliyosababisha fumanizi la pili. Safari hii, mke alitoa ultimatum: aidha yeye au kaka poa. Jamaa alivyokuwa bado hajajitambua, mke akaona bora afunge virago vyake na vya watoto na kuondoka.
Haikuchukua muda, nyumba ndogo (kaka poa) ikahamia rasmi pale nyumbani. Penzi lao lilijulikana mtaa mzima, na cha kushangaza ni kwamba kaka poa alikuwa akihudumiwa vyema kuliko hata mke na watoto walivyokuwa wakihudumiwa.
Maneno ya mtaani yalipomfikia mke wa zamani, akaamua kuwashirikisha ndugu wa mumewe. Baba mkwe na kaka wa mumewe waliingia mtaani na kumtembeza kichapo kizito kaka poa. Hadi sasa, mke amerudi nyumbani, lakini mume hajathubutu kurudi mtaa huo. Habari za chinichini zinasema mipango inaendelea ili familia ihame kabisa kutokana na aibu kubwa.
Dada zetu, mjihadhari katika ndoa hizi za sasa. Maana hizo "papuchi" zenu tayari zimepata mbadala mtaani. Kaka poa hawahitaji matumizi makubwa kama nyie, na kwa hali kama ya jamaa huyu, hata akikosa pesa anajua "mke no. 2" atakula ugali na dagaa bila manung’uniko!
EDIT: SABABU ZINAZOSABABISHA NDOA ZA DADA ZETU ZINAINGILIWA NA MAKAKA POA
Tatizo nadhani ni hizi hulka za wanawake zetu; unakuta mwanaume anatimiza majukumu yake kadri ya uwezo wake lakini bado haonekani anafanya kitu cha maana; kila siku hataki "uvute sigara" (wakati alikukubali ukiwa unafanya hivyo), hataki marafiki zako, hataki nywele zako zilivyo, ana maindi kwanini humpi pesa kama jinsi mme wa shosti yake anavyofanya na mengine mengi wakati hawa makaka poa unakuta kwa asilimia kubwa kuna uhalisia wa aina mbili:
1. Wengi wamepitia ukatili kutoka kwa wanaume mbalimbali; ubakaji, vipigo, kuna wanaotembea nao na wanaishia kuwaacha kwa kinyaa..... Sasa imagine kaka poa wa aina hii akakutana na mwanaume ambayo hajaonesha sifa zote hapo juu na mwanaume huyo kwenye ndoa yake mambo sio shwari yaani hapa kama wewe ni mke utaona picha zote maana huyo mumeo ambaye unamuumiza kichwa hawezi umizwa kichwa na "mwanaume" mwenzake kama unavyomuumiza wewe (sidhani kuna shoga anasumbua bwana wake kwa mambo madogo madogo kama pedi na vocha 🤣)
2. Wanasema kuishi na mwanamke unahitaji akili nyingi hivyo kwa makaka poa sidhani zinahitajika akili nyingi maana kwenye nyumba mnakuwa "wanaume" wawili ; yaani hapo mshkaji akirudi patupu kaka poa sio wa kuuliza "sasa tunafanyaje" lazima atakuwa na solution ya cha kufanya maana mwanaume hajaumbwa kulelewa kama mtoto (mwanamke ndio kuambiwa akili ya kukutegemea mpaka kwa pedi za hedhi yake mwenyewe)
Sasa hiyo misamiati ya 'shoga' na 'msagaji' kazi yake nini?Na ndicho hiki mnachokera! Why impose things that ain’t there in the first place?!
Whoever told that you’re that special kiasi uundiwe msamiati mpya?! Kivipi yaani?!
Mimi naona mwanaume mwenye u.bo.o anamuingilia mwenzie mwenye u.b.o.o kama wake na wote kwa macho yangu ya nyama na fahamu zangu natambua kwamba hao ni wanaume!
Then inakuwaje unataka niamini eti sio wanaume?
Unadhani ni rahisi kuaminisha watu hizo theory zenu za wagonjwa wa akili eti sio wanaume sijui ni them, they whatever!!
This world was Exclusively created for and with only two kinds of genders, MALE & FEMALE (MWANAMUKE & MWANAMUME) hayo mengine belong to Milembe in Dodoma na C1 Bugando Mwanza huko!
Hivi ni kwanini wanyama hawana akili na hawakosei tundu Wala hawaingiliani dume Kwa dume Wala jike Kwa jikeKatika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja alimfukuza mkewe na watoto na kuanza kuishi na "kaka poa" (shoga).
Kwa maelezo ya wenyeji, huyo kaka poa hakuonesha dalili zozote za kuwa shoga. Badala yake, alijulikana kwa shughuli nyingi zinazowaletea vijana kipato, kama ufundi wa bodaboda na kuendesha bodaboda. Mara nyingi, alionekana amekaa nje ya nyumba ya huyo kijana mwenye familia. Kumbe, usiku wa manane vijana wengine wanapotawanyika kutoka kwenye kijiwe, kaka poa huyo alikuwa wa mwisho kuondoka. Wakati huo, ndipo walikuwa wakikutana chooni kufanya yao. Mke wa jamaa alidhani mumewe anaenda kuvuta sigara!
Siku moja, mkewe aliamua kufuatilia na kufanya fumanizi. Alipogundua mke mwenza si mwanamke bali kaka poa, alijaribu kuokoa ndoa chinichini kwa kumpa ofa mumewe: kama "kupenda kwa mpalange" ndio tabia yake, basi awe anapata kwake kama mke halali. Hata hivyo, jamaa hakusikia, hali iliyosababisha fumanizi la pili. Safari hii, mke alitoa ultimatum: aidha yeye au kaka poa. Jamaa alivyokuwa bado hajajitambua, mke akaona bora afunge virago vyake na vya watoto na kuondoka.
Haikuchukua muda, nyumba ndogo (kaka poa) ikahamia rasmi pale nyumbani. Penzi lao lilijulikana mtaa mzima, na cha kushangaza ni kwamba kaka poa alikuwa akihudumiwa vyema kuliko hata mke na watoto walivyokuwa wakihudumiwa.
Maneno ya mtaani yalipomfikia mke wa zamani, akaamua kuwashirikisha ndugu wa mumewe. Baba mkwe na kaka wa mumewe waliingia mtaani na kumtembeza kichapo kizito kaka poa. Hadi sasa, mke amerudi nyumbani, lakini mume hajathubutu kurudi mtaa huo. Habari za chinichini zinasema mipango inaendelea ili familia ihame kabisa kutokana na aibu kubwa.
Dada zetu, mjihadhari katika ndoa hizi za sasa. Maana hizo "papuchi" zenu tayari zimepata mbadala mtaani. Kaka poa hawahitaji matumizi makubwa kama nyie, na kwa hali kama ya jamaa huyu, hata akikosa pesa anajua "mke no. 2" atakula ugali na dagaa bila manung’uniko!
EDIT: SABABU ZINAZOSABABISHA NDOA ZA DADA ZETU ZINAINGILIWA NA MAKAKA POA
Tatizo nadhani ni hizi hulka za wanawake zetu; unakuta mwanaume anatimiza majukumu yake kadri ya uwezo wake lakini bado haonekani anafanya kitu cha maana; kila siku hataki "uvute sigara" (wakati alikukubali ukiwa unafanya hivyo), hataki marafiki zako, hataki nywele zako zilivyo, ana maindi kwanini humpi pesa kama jinsi mme wa shosti yake anavyofanya na mengine mengi wakati hawa makaka poa unakuta kwa asilimia kubwa kuna uhalisia wa aina mbili:
1. Wengi wamepitia ukatili kutoka kwa wanaume mbalimbali; ubakaji, vipigo, kuna wanaotembea nao na wanaishia kuwaacha kwa kinyaa..... Sasa imagine kaka poa wa aina hii akakutana na mwanaume ambayo hajaonesha sifa zote hapo juu na mwanaume huyo kwenye ndoa yake mambo sio shwari yaani hapa kama wewe ni mke utaona picha zote maana huyo mumeo ambaye unamuumiza kichwa hawezi umizwa kichwa na "mwanaume" mwenzake kama unavyomuumiza wewe (sidhani kuna shoga anasumbua bwana wake kwa mambo madogo madogo kama pedi na vocha 🤣)
2. Wanasema kuishi na mwanamke unahitaji akili nyingi hivyo kwa makaka poa sidhani zinahitajika akili nyingi maana kwenye nyumba mnakuwa "wanaume" wawili ; yaani hapo mshkaji akirudi patupu kaka poa sio wa kuuliza "sasa tunafanyaje" lazima atakuwa na solution ya cha kufanya maana mwanaume hajaumbwa kulelewa kama mtoto (mwanamke ndio kuambiwa akili ya kukutegemea mpaka kwa pedi za hedhi yake mwenyewe)
Tatizo nadhani ni hizi hulka za wanawake zetu; unakuta mwanaume anatimiza majukumu yake kadri ya uwezo wake lakini bado haonekani anafanya kitu cha maana; kila siku hataki "uvute sigara" (wakati alikukubali ukiwa unafanya hivyo), hataki marafiki zako, hataki nywele zako zilivyo, ana maindi kwanini humpi pesa kama jinsi mme wa shosti yake anavyofanya na mengine mengi wakati hawa makaka poa unakuta kwa asilimia kubwa kuna uhalisia wa aina mbili:Kohiyo kaka poa anapeleka kiuno na kuifinyia kwa ndani??? Au hawa kaka poa wanakatika sana nini?? Eti dada zangu kazi imewashinda mpaka kaka poa wanawasaidia au ni nini tatizo??
Utashi ni mzigo mkuu, unakuja na added complicationsHivi ni kwanini wanyama hawana akili na hawakosei tundu Wala hawaingiliani dume Kwa dume Wala jike Kwa jike
Lakini mbona wanadam wana akili kabisa na wanakosea tundu afu wanaingiliana dume Kwa dume na jike Kwa jike
Why????? Kwanini???????
Uwepo wa hiyo misamiati sio baraka ya jambo/tendo kufanyika.Sasa hiyo misamiati ya 'shoga' na 'msagaji' kazi yake nini?
Na unavyosema ni issue za mirembe hauko mbali na ukweli kwasababu huwezi kuniaminisha mtu ataamua tu kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja bila kichochezi kwenye akili yake.
Mtu anaamua tu kuwa vile. Inaingia akilini kweli?
Wale sio wanaume na sisi hatuwatambui.
AseeTatizo nadhani ni hizi hulka za wanawake zetu; unakuta mwanaume anatimiza majukumu yake kadri ya uwezo wake lakini bado haonekani anafanya kitu cha maana; kila siku hataki "uvute sigara" (wakati alikukubali ukiwa unafanya hivyo), hataki marafiki zako, hataki nywele zako zilivyo, ana maindi kwanini humpi pesa kama jinsi mme wa shosti yake anavyofanya na mengine mengi wakati hawa makaka poa unakuta kwa asilimia kubwa kuna uhalisia wa aina mbili:
1. Wengi wamepitia ukatili kutoka kwa wanaume mbalimbali; ubakaji, vipigo, kuna wanaotembea nao na wanaishia kuwaacha kwa kinyaa..... Sasa imagine kaka poa wa aina hii akakutana na mwanaume ambayo hajaonesha sifa zote hapo juu na mwanaume huyo kwenye ndoa yake mambo sio shwari yaani hapa kama wewe ni mke utaona picha zote
2. Wanasema kuishi na mwanamke unahitaji akili nyingi hivyo kwa makaka poa sidhani zinahitajika akili nyingi maana kwenye nyumba mnakuwa wanaume wawili ; yaani hapo mshkaji akirudi patupu kaka poa sio wa kuuliza "sasa tunafanyaje honey" lazima atakuwa na solution ya cha kufanya maana mwanaume hajaumbwa kulelewa kama mtoto
Utashi ni mzigo mkuu, unakuja na added complications
Dah, nimekushindwa coach😂Uwepo wa hiyo misamiati sio baraka ya jambo/tendo kufanyika.
Muuwaji/Jizi/Jambazi ipo lakini ni watu wasiotakiwa kuwepo.
Na kuwakataa tu kwamba sio wanaume hakubadirishi ukweli kwamba hao ni Wanaume walioamua kutumia tundu la matakoni la kutolea kinyesi kuingiziwa m.b.o.o na wanaume wenzao!
Men! will surely be his own Destroyer!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nawewe dume unakamatiaje tako gumu kama mkate wa kikinga
🤣🤣🤣🤣Sitasahau siku nilinunua dada poa...kwanza hakutaka kujeuka mbele...(Kwa wanunuaji mnajua kabisa mbuzi kagoma lazima uongeze hela)..ila iyo aliitega mwenyewe...nilivyomaliza zangu akili ya juu ilivyorudi nikaangalia vizuri naona muscles and masculinity features... Khaaa 🚮🚮 siku hiyo nilichukia sana na ndo kuacha kula wadangaji wembamba ...lile lilikua shoga 😭😭
Sasa hao ambao mnawasahau eti kisa mnalinda watoto wenu ndio wanakuja kuwaharibu watoto wenu sasa , huyo mtoto untamlinda 24/7? Hatakuwa na marafiki? Hataona tamaduni ya hawa watu haijatapakaa mtandaoni? Hatahongwa playstation 10 wakati wewe umekataa kumnunulia iphone X 2035?Yani tuache kufatilia maendeleo ya watoto tuanze kulinda mikundruu ya watu wazima??
Kweli kabisa?!! 😹😹😹
Mtu km kaamua kulichezesha kalio lake ni yeye na mwili wake, wanawake tuna mengi ya kufanya bro.!
Kisa tu hatuuongelei ukimwi sio kwamba haupoEndeleeni kuupaisha...yatawafikia mpk makwenu...