Mashoga wanatakiwa wapewe adhabu ya kifo hapo ndio tutaokoa kizazi hiki

Mkuu Arusha unaijua au unaiskia tu??Mafala unaowazungumzia hao wako sehem gani uku Chuga??Acha kuaibisha mikoa ya watu dingii.!!Chuga hakuna Mashoga.
Ndg usikatae kuna siku mimi natoka zangu morombo naenda town ndn ya kibasi aseee nilichokiona humo ndn nilipigwa na butwaa sikutegemea Arusha yetu imefikia huku...kulikuwa na mapunga 2 bila walikuwa wanaongea kama mademu huku wamevaa jeans tight vitovu nje nje na.lipstick juu tena ilikuwa mchana kweupe

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Naona coment za wenyewe wanakupinga kwa hasira,nibasi tu ila kama wangekua karibu na wewe wangevua mwendo kasi walizovaa wakakupiga nazo usoni.
 
Hao ni wanyaturu wa kuja wewe wanatoka singida na manyara hapo
 
Asiyekuwa na dhambi na awe wa Kwanza kuwatushia mawe au kuwanyonga.
 

Poleee sana!! Najua unaumia ila naww unaugua ugonjwa unaitwa homophobia
Ni ugonjwa kama magonjwa mengine ambao unasababisha mtu kuona kitu fulani hakistahili kuishi au n kibaya kuliko vitu vyote hata kama hakimdhuru au hakimgusi moja kwa moja!!

Ukiulizwa wameathiri nini kwenye maisha yako huwez hata sema??

Ukiulizwa aliyewafanya mashoga n nani kama cye nyinyi wenyewe watu ?

Kifupi dhambi haijawai kuisha kwa kuua ingekua ivo ingekuwa iliisha pale miji mikubwa ya sodoma na gomora ilivoangamizwa!!

Punguza hofuu!! Walinde wanao na abuse wafundishe maadili !! Timiza majukumu yako katka familia na umuombe mungu akunusuru na familia yako

Hizi phobia za hivi ziko nyingi mfano n islamophobia mtu ana uogopa uislam hata kama haujawai mdhuru
Technophobia mtu anaogopa technologia

......:.waache waishi kwasababu Mungu amewaacha akitaka ataua mwenyewe kwake yy hamna msafi!!! ....akikuangalia ww anakuonea huruma.... so mi si sapot kuwaua ila ungegundua dawa yakuwa tibu ningesapport

Nb: mtu anaeogopa ua mwenye hofu sana na hao watu wakat hawagusi maisha yake n secrete gay!!! Mara nyingi
 
Mkuu fanya utafiti kwenye night club za Arusha..kumejaa mashoga ma..mama.. ee
Mbona watu wananyanyapaa sana mashoga wakati siku hizi kuna wanaume wengi sana wanaogonga tigo wanapolala na mwanamke? Mbona matundu ni hayo hayo? Huwezi kulaumu ushonga kama wewe unapenda kugonga tigo za wamama.
 
Ishu kubwa hapo sio ushoga hiyo ni output ya malezi sasa we we kama mzazi timiza wajibu kwenye malezi ....end of the story
 
Mkuu mtoa mada, nafahamu unaumizwa sana na mashogo....but ushoga ni dhambi au jambo baya kama yalivyo mengine...pombe..wizi nk. Kimsingi mambo yotr yaluokatazwa na Mungu ni mabaya kwa mwanadamu...shida ni vile jamii inayapa madaraja haya madhambi. Alieua na kufanya ushoga anaonekana mdhambi kuliko mwizi na anaechongea wenzie. Dhambi ni dhambi..hamna kubwa wala ndogo.
Na hivyo dawa pekee ya kuacha ushoga..ni kumcha Mungu...kuweka kitanzi ama kupiga mawe hakutasaidia...kitachobadilila ni mahali tu pakufanyia mambo hayo....yaani watatoka kufanyia nje na kujificha vyumbani..hivyo vitu vitaendelea tu.

Waone mashoga kama mtu yeyote aliekengeuka...muombee aone ubaya wa dhambi ili aache na kumrudia Mungu!
 
Ukisoma Historia ya Wazungu, Marekani Mashoga walikuwa wanauwawa ila vipi leo?
 

Sijui wanafikiri sodoma na gomora walikuwa wanafaidi sana!
Lakini matokeo yake waliangamia tu.
 
Hahahah..eti mashoga nao wananyanyua vyuma...kiruuuu
Wewe ingia xvideos guay aise wale vidali wanashinda kutafuta six pak ndio machoko wa kutupwa uko mbele aise utamaduni wa wazungu kwa vizazi vijavyo wote watakuwa mapunga sio kwa staily waliyokuwa nayo now
 
Mtoto wako/ndugu yako akiwa shoga basi umchome moto ili tuige kwako ila watoto wa wenzio kuwapangia cha kuwafanya si vyema. Ungesema ufanyike utafiti kwa nini watu wanakuwa mashoga ningekuunga mkono.
Tabia zisizofaa ni nyingi sana katika jamii kwa nini wewe uchague mashoga tu na wengine uwavumilie.
Hivi wanaowapa mimba wake za watu,wanafunzi na dada zetu majumbani tabia zao zinakupendeza?
Wanaolewa kutwa nzima hawataki kufanya kazi wanakupendeza?
Waongo wanaofitinisha wanakupendeza?
Mwenye mamlaka ya kuua ni mungu na shetani,sasa wewe hayo mamlaka ya kuua wenzio unayatoa wapi?
Tabia za kuhukumu watu kwa interest binafsi zinatakiwa zikomeshwe!
Wewe shoga amekudhulu nini mpaka umuue? Je hao ambao wewe unawaona sio mashoga una uhakika gani kama sio mashoga?
Je wanaofi### hao mashoga kwa nini huwaongelei? Je ni vizuri wanavyofanya?
Wanafalsafa wanasema hakuna "group deeds but individual deeds" For the issue of individuality why should you be bothered?
Kama mtu anakengeuka wewe unapungukiwa nini?
Kama shoga anakuja nyumbani kwangu kunishawishi niwe kama yeye hapo ana nikosea ila yupo huko hata sionani nae mimi inanipunguzia nini?
Mambo ya ushoga yalianza tangu kale na hadithi za sodoma na gomora lakini walishindwa kuyatokomeza, kwa hio ni ngumu sana dhambi kuitokomeza ili upate "ideal society"
Kama unamini mungu waache watahukumiwa na alie waumba, wewe nani mpaka uwahukumu?
Kila mtu aubebe mzigo wake mwenyewe, kwa nini unaanza kubeba ya wengine?
Ukiona shoga anakuletea mizengwa kwako shughulika nae kimya kimya usisubili serikali ila kama hajakudhulu achana nae.
Binafsi nina miaka zaidi ya 10 sijamshuhudia shoga wewe unawaona wapi,unakutana nao wapi ?
Je unaweza kutuorodheshea majina yao na wanaoshiriki nao au unasikia tu JF?
 
Mkuu Arusha unaijua au unaiskia tu??Mafala unaowazungumzia hao wako sehem gani uku Chuga??Acha kuaibisha mikoa ya watu dingii.!!Chuga hakuna Mashoga.
Ww unajifungia ndani Arusha kuna mashoga ata mm mwanzo nilikuwa nabisha ila siku niliyo mwona shoga kashililiwa kiunoni na njemba nilishangaa sana hiyo ilikuwa 2017 kuna club ipo karibia na stendi ya mabasi jina limenitoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…