Mashoga wanatakiwa wapewe adhabu ya kifo hapo ndio tutaokoa kizazi hiki

Vipi ikitokea kwa mwanao? Bado haitakuathiri?
Inaweza ikaniathiri kiasi hilo lipo wazi lakini mwisho wa siku nitamuacha kama alivyo na sitamtenga.
Labda mniambie je kuna shoga yoyote aliyewahi kusaidiwa akapona akaacha ushoga kabisa na asitamani tena kurudia na akaanza kuchakata papuchi kama kawa? Au kuna Dawa yoyote unayoifahamu inaondoa hilo tatizo.
Kiufupi siwezi kupambana na jambo ambalo Mungu mwenyewe limemshinda...refer to sodoma na gomora.
 
Omba MUNGU tu kwako asije tokea shoga,ingekuwa Moto ndo dawa vibaka wangeacha kuiba
 
Watu wa jinsia mbili wanazaliwa kila siku, kwahiyo huo unaouita ushoga ni nguvu ya maumbile haikwepeki ,zamani watoto waliozaliwa na jinsia mbili waliuliwa ikiaminika ni nuksi kwenye jamii leo utandawazi umesaidia wanapata nafasi ya kuishi lazima waishi maisha yao sio utakavyo wewe.
Waambie hawa na waelewe.
 
Inaweza ikaniathiri kiasi hilo lipo wazi lakini mwisho wa siku nitamuacha kama alivyo na sitamtenga.
Labda mniambie je kuna shoga yoyote aliyewahi kusaidiwa akapona akaacha ushoga kabisa na asitamani tena kurudia na akaanza kuchakata papuchi kama kawa? Au kuna Dawa yoyote unayoifahamu inaondoa hilo tatizo.
Kiufupi siwezi kupambana na jambo ambalo Mungu mwenyewe limemshinda...refer to sodoma na gomora.
Kwani unadhan hawajui? Wanapenda kulia lia km hivi ndo ahueni yao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na kwamba siyo mshabiki wa huo ushoga wengine tungependa kujiuliza maswali kadhaa. Je akiwa shoga anakukosesha chakula cha siku? Unashindwa kutafuta hela kwa namna yako? Washindwa kufanya mapenzi na mpenzi au mke wako? Anakuibia mali au fedha? Anakudhulumu? Kakukosesha maji au umeme? Yeye shoga ndio sababu ya shida zako kimaisha? Kukosa miundo mbinu ni yeye? Kuwa na viongozi wababaishaji au kwa maneno ya ‘slow slow’ kuwa baadhi ni ‘wahuni’ ni sababu ya shoga? Kulimwa matozo lumbesa ni shoga? Ukijibu ndiyo basi kweli wauliwe. Ila nakubali na kushutumu tabia za ushoga kutuwekea usoni. Its not normal. Ila ushoga haujaletwa na wakoloni wa kizungu au waarabu (znz na pemba) ila umekuwepo tangu enzi hizo. Ila ulifichika. Siri na dhambi ya familia. Hakuna solution zaidi ya kuhimiza msituringishie usoni basi. Wafanye huko huko kwa raha zao.
 
Hawa nyumbu wakipewa Uhuru kiasi hicho ata watoto wako wataona Ni Jambo la kawaida then watajarbu siku moja , hili Jambo Ni lakupinga vikali ikishindikana kabsa , japo Mimi Ni mkristo nchi iendeshwe kwa misingi ya kiislam
 
uzi wa mauaji ni skendo kwa IF

What if mtu akiwa inspired na huu uzi na kwenda kuwaua?
@Mods wote
 
Hivi kweli K ilivyo tamu nikaangaike na shimo la tewa kweli? Big no!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi wapo wenzio wanaacha K hiyo tamu, nakufata shimo la tewa tena wananyenyekea kabisa na kuwa wapole, wanahusudu mno. Kupanga n kuchagua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na kwamba siyo mshabiki wa huo ushoga wengine tungependa kujiuliza maswali kadhaa. Je akiwa shoga anakukosesha chakula cha siku? Unashindwa kutafuta hela kwa namna yako? Washindwa kufanya mapenzi na mpenzi au mke wako? Anakuibia mali au fedha? Anakudhulumu? Kakukosesha maji au umeme? Yeye shoga ndio sababu ya shida zako kimaisha? Kukosa miundo mbinu ni yeye? Kuwa na viongozi wababaishaji au kwa maneno ya ‘slow slow’ kuwa baadhi ni ‘wahuni’ ni sababu ya shoga? Kulimwa matozo lumbesa ni shoga? Ukijibu ndiyo basi kweli wauliwe. Ila nakubali na kushutumu tabia za ushoga kutuwekea usoni. Its not normal. Ila ushoga haujaletwa na wakoloni wa kizungu au waarabu (znz na pemba) ila umekuwepo tangu enzi hizo. Ila ulifichika. Siri na dhambi ya familia. Hakuna solution zaidi ya kuhimiza msituringishie usoni basi. Wafanye huko huko kwa raha zao.
Maneno bora kabisa haya. Ubarikiwe sana.
 
Kwa nini unawafuatulia mashoga, kwa nini unawawaza? Je una interest nao, chanya au hasi, wamekudhuru kwa lipi, wamekuudhi kwa lipi?

Akitokea mtoto wako au ndugu yako akawa shoga utamuua ?
Wameleta madhara kiasi gani.
Je wamevunja haki zako ?
Je wapo wangapi? Kwa nini wameamua kuwa mashoga.
Je unaouthibitisho kama unaowaona ni mashoga au unasikia tu kama mimi huku njombe.

Kwa nini mimi naishi hata miaka 2 huo msamiati haupo kichwani mwangu, kwa nini wewe unakuzunguka kichwani mwako?
Is it a big issue in TZ.
Je una mamkaka na mwili wa mtu mwingine?
Binafsi naamini mtu mbaya ni yule anaedhilumu haki ya mwnine, kama mwizi,muuaji,mbakaji wa watoto, mdhulumati nk mtu wa hisia kwangu hana nafasi kwa sababu hajaingilia uhuru wangu. Iwapo atakuja kunilazimisha nimfanyie ushoga kwa nguvu, huyo anastahili adhabu kwa sababu kaingilia uhuru wangu vinginevyo aendelee na maisha yake.
Nimekuwa nikijiuliza swali hivi kwa nini binadamu mmoja ampangie binadamu mwenzie jinsi ya kuishi, kuamini na kuamua!
Maadili ya jamii ni uwongo mtupu, maadili yapo katika mtu mmoja mmoja, hivyo pigania maadili yako na familia yako vinginevyo utakosa raha bule kwa sababu ya watu wengine waliokengeuka dhidi ya jamii.
haya maswali kaulize magasho wenzako
 
Umeandika vema sana, lkn kwa vile Tanzania only 0.00000000999 can think , watakaokuelewa ni wachache.
To me , sioni sababu ya kuingilia mtu kama anataka kutumia mwili wake kwa mambo yake binafsi! as long as haingilii uhuru wa mtu mwingine...
 
Back
Top Bottom