Mashtaka dhidi ya Viongozi kama DCs na RCs ni ufunguo wa Mashtaka dhidi ya viongozi wa juu

Kama ulikuwa kichwani mwangu. Hizi sheria za kinga wanazojiwekea zinakuwa na nguvu kutegemea nani yuko madarakani.
Rais wa Malawi wa Sasa mchungaji Chakwera alizifuta kinga ndani ya masaa 24 na kuanza kuwawajibisha wote waliokuwa wanaleta za kuleta.
 
Sheria haianzii nyuma
Wewe acha kujidanganya. Nikupe mfano mdogo tu wa makato ya mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Wanafunzi walikuwa wamesaini 5 wengine 6 na wengine 8 jiwe akabadilisha kwenda 15. Sheria hii ikalamba wote
 
Rais wa nchi hii hastakiwi. Hiyo sheria ilipotishwa siku nyingi.
Ndiyo maana nimesema nikiwa rais nitazifuta. Nitamuamuru "Ndugai" wangu awaweke sawa wabunge ili wavifute vifungu vya katiba vinavyowapa kinga. Kisha nawatia mabaroni.
 
Kwani sheria ikitungwa leo, inarudi nyuma? Nijuacho inaanza kufanya kazi siku inapotungwa kwenda mbele... Atajayetenda kinyume wakati ipo, huyo ndo itamuhusu
Mbona kwenye mikopo ya wanafunzi ilirudi nyuma? Kama jiwe aliweza kuirudisha nyuma basi hata mm nitairudisha nyuma
 
Wahuni mpooo!
 
hata hao waliojiwekea uzio wa kisheria wasifikiri wapo salama saana, muda ukifika tutaondoa hizo sheria na hata kama wapo mochware tutawapandisha kizibani wajitu tuhuma zinazowakabili.
 
Walevi wa madaraka huenda Huko tuendako wanaweza kuachana na hicho kilevi [emoji317][emoji317][emoji317][emoji317]
 
UVCCM akili zimeanza kuamka? 😀
☝️ ☝️
 
CHADEMA kushika madaraka siyo rahisi labda mwaka 2055
Washindwe tu wenyewe kwa ujinga wao, lakini wakijipanga vizuri 2025, hata CCM wakitaka kutumia polisi na "Tume ya Uchafuzi" kama walivyozoea hawatatoboa.
Najua ukweli huo unakusumbua sana hapo ulipo.
 
Hivi hakunaga Sheria ya kumshtaki hata marehemu kama alifanya makosa makubwa?
 
Tarehe 3 wala siyo mbali.
Itakuwa shangwe kama usiku ule wa 17.3
Yaani mtu apore mali za watu kwa kufanya kusingizia maovu Afu aachwe tu ??? KISA alikuwa DC au RC???
We siyo timamu kama jina lako
 
Na nyie watekaji je?
 
Nisumbuliwe na chama kilichojifia mwaka 2015 wakati mtuhumiwa wa ugaidi alipobadili gia angani. Pole sana.
Washindwe tu wenyewe kwa ujinga wao, lakini wakijipanga vizuri 2025, hata CCM wakitaka kutumia polisi na "Tume ya Uchafuzi" kama walivyozoea hawatatoboa.
Najua ukweli huo unakusumbua sana hapo ulipo.
 
Hakuna aliye juu ya Sheria milele. Hata SSH ajiandaye siku nikiwa rais nitafuta kinga nakumpeleka mahakamani
Halafu mimi nitakuwa makamu wako,Mimi nitadili na Spika wewe na rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…