Rais wa Malawi wa Sasa mchungaji Chakwera alizifuta kinga ndani ya masaa 24 na kuanza kuwawajibisha wote waliokuwa wanaleta za kuleta.Kama ulikuwa kichwani mwangu. Hizi sheria za kinga wanazojiwekea zinakuwa na nguvu kutegemea nani yuko madarakani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa Malawi wa Sasa mchungaji Chakwera alizifuta kinga ndani ya masaa 24 na kuanza kuwawajibisha wote waliokuwa wanaleta za kuleta.Kama ulikuwa kichwani mwangu. Hizi sheria za kinga wanazojiwekea zinakuwa na nguvu kutegemea nani yuko madarakani.
Wewe acha kujidanganya. Nikupe mfano mdogo tu wa makato ya mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Wanafunzi walikuwa wamesaini 5 wengine 6 na wengine 8 jiwe akabadilisha kwenda 15. Sheria hii ikalamba woteSheria haianzii nyuma
Asante Sana mkuu. Waambieni walioko madarakani wajipangeHongera sana rais ajaye
Ndiyo maana nimesema nikiwa rais nitazifuta. Nitamuamuru "Ndugai" wangu awaweke sawa wabunge ili wavifute vifungu vya katiba vinavyowapa kinga. Kisha nawatia mabaroni.Rais wa nchi hii hastakiwi. Hiyo sheria ilipotishwa siku nyingi.
Mbona kwenye mikopo ya wanafunzi ilirudi nyuma? Kama jiwe aliweza kuirudisha nyuma basi hata mm nitairudisha nyumaKwani sheria ikitungwa leo, inarudi nyuma? Nijuacho inaanza kufanya kazi siku inapotungwa kwenda mbele... Atajayetenda kinyume wakati ipo, huyo ndo itamuhusu
Wahuni mpooo!Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kura yangu ni kwakoAsante Sana mkuu. Waambieni walioko madarakani wajipange
hata hao waliojiwekea uzio wa kisheria wasifikiri wapo salama saana, muda ukifika tutaondoa hizo sheria na hata kama wapo mochware tutawapandisha kizibani wajitu tuhuma zinazowakabili.Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Walevi wa madaraka huenda Huko tuendako wanaweza kuachana na hicho kilevi [emoji317][emoji317][emoji317][emoji317]Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
UVCCM akili zimeanza kuamka? 😀Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Washindwe tu wenyewe kwa ujinga wao, lakini wakijipanga vizuri 2025, hata CCM wakitaka kutumia polisi na "Tume ya Uchafuzi" kama walivyozoea hawatatoboa.CHADEMA kushika madaraka siyo rahisi labda mwaka 2055
Tarehe 3 wala siyo mbali.Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Na nyie watekaji je?Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Washindwe tu wenyewe kwa ujinga wao, lakini wakijipanga vizuri 2025, hata CCM wakitaka kutumia polisi na "Tume ya Uchafuzi" kama walivyozoea hawatatoboa.
Najua ukweli huo unakusumbua sana hapo ulipo.
Halafu mimi nitakuwa makamu wako,Mimi nitadili na Spika wewe na raisHakuna aliye juu ya Sheria milele. Hata SSH ajiandaye siku nikiwa rais nitafuta kinga nakumpeleka mahakamani
Sawa mkuu. Acha tupige mdogo mdogoHalafu mimi nitakuwa makamu wako,Mimi nitadili na Spika wewe na rais
Kinacho shtakiwa ni jinai sio uongozi