Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

Jadili hoja usimjadili mtoa hoja izo assumptions zako hata kama zingekua za ukweli haziondoi ukweli kwamba wanawake mmekua ombaomba na mpo after money yaani makahaba wa kimya kimya. Kama wanaume wanaowalalamikia ni masikini basi waombeni hela kaka na baba zenu, najua hamuwezi kwa sababu ndugu zenu wa kiume ni masikini pro max ndio maana mnawaangushia mzigo wanaume wengine, msemo wenu wa "tafuta hela" anzeni kuwaambia baba na kaka zenu maana hao wangekua na izo hela za kuwapa msingeweka dhamana mbususu ili mweze kuishi.
 
Utakuta mtu anapiga kelele nyingi kumbe mwenyewe wahovyo tu ambaye hata ukimtupa hapo fisi haweza msogelea lakini kutwa wanawake!
 
kwamba wanawake mmekua

ni kweli. Je hii ni pamoja na wanawake wa kwenu wote??
BIBI?
MAMA?
DADA?
SHANGAZI?
WATOTO ?
Kama jibu hapana basi shida sio wanawake wote ni hao unaowavamia hivyo badili aina ya wanawake unaowaparamia. Asante
 
ni kweli. Je hii ni pamoja na wanawake wa kwenu wote??
BIBI?
MAMA?
DADA?
SHANGAZI?
WATOTO ?
Kama jibu hapana basi shida sio wanawake wote ni hao unaowavamia hivyo badili aina ya wanawake unaowaparamia. Asante
Sijajumuisha wala kutojumuisha KE wa familia yoyote as long as ni KE basi hoja inamuhusu. Wanawake mmekua ombaomba na mmefika hatua mnaona kupewa hela ni haki yenu mkichanwa live ndo mnaanza kusema watu masikini wana ugumu wa maisha. Unamuita mtu anaejitafutia masikini wakati wewe mwenyewe unaishi kwa kuombaomba, are you normal.! Ndio maana mnafanyiwa mambo mabaya kwenye miili yenu ikiwemo kuingiliwa kinyume na maumbile kwa sababu mnaendekeza tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…