Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
๐๐๐Tarejlhe dume hiz mother some food nashindia dagaa ๐๐๐Mama some food upo una afu tano hapo unisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Tarejlhe dume hiz mother some food nashindia dagaa ๐๐๐Mama some food upo una afu tano hapo unisaidie
Nicheki pm, nina ujumbe wakoWanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa, ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda.
Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu but anajumlisha wanawake wote . Nasio mara moja wanadai anaona profile picture anaenda pm sasa profile picture ya rihanna halafu kweli unaenda pm eti ukakutane na rihana .
Aisee acheni kuzingua basi hakuna kichaa ataona picha halafu aweke ndio mtu halasi . Mtoa ni tz halafu kaweka picha ya white not yake halafu unaenda huko huko unamtag unaenda naye kulala naye. Shame on you men.
Hivi unaanzaje kukutana na mtu humjui hujawahi mwona mpaka unamvua nguo zote hizo ulikuwa unaona ile profile picture . Au ulikuwa na shida zako . Zimeisha eti mtu yuko kama mfuniko .
Halafu unatujumlisha wote kabisa hii sio sawa . Wanaume wa jf jieshimuni tokea nifanye kazi za watu wa jf wote ni watu wazima wenye familia zao. Humu jf siwajui wanawake kwa sura japo mmoja nimemuona kupitia facebook kweli ni anasura ya baba ila wanaume wazee sana mnakera mnadhalilisha watu . Kuweni na adabu andika fulani unakera mpe makavu basi sio watu wote mimi na shida zangu naingia jf nifurahie nakuta wadada wajf wamefanya hili au lile why mnamjulisha watu wote nani sasa amtake nani humu kwalipi sasa mbwa tuambie sasa mnatembelea magari ya mikopo na yakazini hamna lolote.
Acheni ujinga mnakeraaa . Hakuna mtu amewahi nipa pesa yakujikimu humi ndani hata mwezi mmoja zaidi yakufanya kazi nakujitoa kwa jasho .
Kila saa wadada wa jf andikeni wa mf kimeumana umekula hela yangu rudisha sio wote wanaishi kwa hela za wajinga wa humu.
Kajichanganya sana sio ๐ ๐Kuna wanawake hawnaa bahat kabisa ๐๐
Yani kapigika vibaya sana๐๐๐Kajichanganya sana sio ๐ ๐
Mnawaonea bure wa chuo, hata nyinyi wenye mishe zenu ni ombaombaNitoe humo jamani
Mtu unaombaje afu tano ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ au ni kadada ka chuo
Yani kapigika vibaya sana๐๐๐
Nitoe huko kwenye Hilo kundiMnawaonea bure wa chuo, hata nyinyi wenye mishe zenu ni ombaomba
Haya tumeshakutoa kwenye kundi la kausha damu a.k.a ombaombaNitoe huko kwenye Hilo kundi
Hata kama naomba siwezi kuomba efu 5
Usijali valentine is coming ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐Tarejlhe dume hiz mother some food nashindia dagaa ๐๐๐
AsanteHaya tumeshakutoa kwenye kundi la kausha damu a.k.a ombaomba
Tunawataka wanawake kama nyinyi kind of woman that can do for herself she got her own thing and her bills are paid on time
Omba omba BIG NO
Bora ushindie dagaa kuliko kupiga vizinga๐๐๐Tarejlhe dume hiz mother some food nashindia dagaa ๐๐๐
Wapi my wangu ๐๐Usijali valentine is coming ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Punguza makasirikoNicheki pm, nina ujumbe wako
Wamekosa kazi za kufanya hivi mtu mwenye akili timamu anaweza sema oohnyonyinyonyonyo kama sio utahira ni nin eww.Wanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa, ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda.
Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu but anajumlisha wanawake wote . Nasio mara moja wanadai anaona profile picture anaenda pm sasa profile picture ya rihanna halafu kweli unaenda pm eti ukakutane na rihana .
Aisee acheni kuzingua basi hakuna kichaa ataona picha halafu aweke ndio mtu halasi . Mtoa ni tz halafu kaweka picha ya white not yake halafu unaenda huko huko unamtag unaenda naye kulala naye. Shame on you men.
Hivi unaanzaje kukutana na mtu humjui hujawahi mwona mpaka unamvua nguo zote hizo ulikuwa unaona ile profile picture . Au ulikuwa na shida zako . Zimeisha eti mtu yuko kama mfuniko .
Halafu unatujumlisha wote kabisa hii sio sawa . Wanaume wa jf jieshimuni tokea nifanye kazi za watu wa jf wote ni watu wazima wenye familia zao. Humu jf siwajui wanawake kwa sura japo mmoja nimemuona kupitia facebook kweli ni anasura ya baba ila wanaume wazee sana mnakera mnadhalilisha watu . Kuweni na adabu andika fulani unakera mpe makavu basi sio watu wote mimi na shida zangu naingia jf nifurahie nakuta wadada wajf wamefanya hili au lile why mnamjulisha watu wote nani sasa amtake nani humu kwalipi sasa mbwa tuambie sasa mnatembelea magari ya mikopo na yakazini hamna lolote.
Acheni ujinga mnakeraaa . Hakuna mtu amewahi nipa pesa yakujikimu humi ndani hata mwezi mmoja zaidi yakufanya kazi nakujitoa kwa jasho .
Kila saa wadada wa jf andikeni wa mf kimeumana umekula hela yangu rudisha sio wote wanaishi kwa hela za wajinga wa humu.
Imeandikwa mwanaume ndio atakula kwa jasho, kwanini wewe unaenda kinyume na maandiko?Wanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa, ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda.
Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu but anajumlisha wanawake wote . Nasio mara moja wanadai anaona profile picture anaenda pm sasa profile picture ya rihanna halafu kweli unaenda pm eti ukakutane na rihana .
Aisee acheni kuzingua basi hakuna kichaa ataona picha halafu aweke ndio mtu halasi . Mtoa ni tz halafu kaweka picha ya white not yake halafu unaenda huko huko unamtag unaenda naye kulala naye. Shame on you men.
Hivi unaanzaje kukutana na mtu humjui hujawahi mwona mpaka unamvua nguo zote hizo ulikuwa unaona ile profile picture . Au ulikuwa na shida zako . Zimeisha eti mtu yuko kama mfuniko .
Halafu unatujumlisha wote kabisa hii sio sawa . Wanaume wa jf jieshimuni tokea nifanye kazi za watu wa jf wote ni watu wazima wenye familia zao. Humu jf siwajui wanawake kwa sura japo mmoja nimemuona kupitia facebook kweli ni anasura ya baba ila wanaume wazee sana mnakera mnadhalilisha watu . Kuweni na adabu andika fulani unakera mpe makavu basi sio watu wote mimi na shida zangu naingia jf nifurahie nakuta wadada wajf wamefanya hili au lile why mnamjulisha watu wote nani sasa amtake nani humu kwalipi sasa mbwa tuambie sasa mnatembelea magari ya mikopo na yakazini hamna lolote.
Acheni ujinga mnakeraaa . Hakuna mtu amewahi nipa pesa yakujikimu humi ndani hata mwezi mmoja zaidi yakufanya kazi nakujitoa kwa jasho .
Kila saa wadada wa jf andikeni wa mf kimeumana umekula hela yangu rudisha sio wote wanaishi kwa hela za wajinga wa humu.
Yan ye mwenyewe anasema ni mwanamke alafu anamponda mwanamke mwenzie , huwezi kukuta wanaume wanafanya hichi kitu, women hate each other soo bad. Yan anafanya kitu kile kile anachokilalamikia yeye ila in a different way inawezekana angekuwa mwanaume angewaponda wanawake kuliko hata hawa anaowalalamikia hapa jf. I am amused.Nimeona hapo kuna mtu ana sura ya baba๐๐
Wanawake hatujai pendana sijui kwaniniYan ye mwenyewe anasema ni mwanamke alafu anamponda mwanamke mwenzie , huwezi kukuta wanaume wanafanya hichi kitu, women hate each other soo bad. Yan anafanya kitu kile kile anachokilalamikia yeye ila in a different way inawezekana angekuwa mwanaume angewaponda wanawake kuliko hata hawa anaowalalamikia hapa jf. I am amused.
Aisee sikuelewiImeandikwa mwanaume ndio atakula kwa jasho, kwanini wewe unaenda kinyume na maandiko?