Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

Jukumu la boyfriend ni kumpa girlfriend wake mapenzi tu hizi mambo za kuhudumiana si kweli
Anakuita majina yote ya kimahaba "mume,mpenzi, mkeo nitalia"

Hivi ndo huyu huwa unamzungumzia kwenye kugusanisha vikojoleo zile style unamuweka,mzee wa "de libolo"?

Tuma hiyo 5,000 Tsh mara ya mwisho aiseeh,hatutaki msiba.🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…