permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ukiwaambia wanakaza mafuvu tu.Kinacho-miss SIMBA ni kukosa aina ya players wanaoweza kulazimisha kama Pocome, Mzengeli na Aziz Ku..
Pengo la Chama linaonekana wazi kabisa.Kinacho-miss SIMBA ni kukosa aina ya players wanaoweza kulazimisha kama Pocome, Mzengeli na Aziz Ku..
Wazee watawaka hao sio poaMechi ikiisha alaumiwa GSM.
Ubaya ubwelaTimu imepumzika wiki nzima, ila inambwela mbwela tu hapa!
We hauogopiTimu imepumzika wiki nzima, ila inambwela mbwela tu hapa!