Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

Chama alikuwepo misimu mitatu yote tuliyofanya vibaya, hilo pengi hukuliona!? Acheni kutafuta kichaka cha kujifichia.
Naona tuna tofauti hapa. Mi naongelea mpira we tayari umenitambua kama shabiki wa Simba. Au mwenzetu unaona clear chances Simba anazotengeneza kwenyw hii mechi?

Simba unayosema ya misimu mitatu nyuma ilikua inatengeneza nafasi nyingi sana haijalishi walikuwa wanamaliza nafasi ya ngapi.
 
Unazungumzia mechi hii au mechi zote za msimu huu!? Una habari kuwa Simba ndo team iliyotengeneza nafasi nyingi na kufunga magoli mengi msimu huu mpaka muda huu? Fatilia mpira kabla ya kuuzungumzia. Mechi ya leo ningekuona unajitambua kama ungewapa sifa yao mashujaa kwa namna walivyo-approach mechi ya leo.
 
Hivi Simba bado inajenga kikosi?

Naanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa huyu kocha wetu
Siioni Simba ikiwa na muendelezo mzuri wa matokeo
Kikosi bora hata kikicheza vibaya lakini point 3 lazima zivunwe
 
Back
Top Bottom