BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Simba anafungwaDraw hiiπππ
Hamna draw hapa, nyani anakufa nyumbaniDraw hiiπππ
Kabisa yani namba 10 tatizoPengo la Chama linaonekana wazi kabisa.
Makolo wamekufa na leoHamna draw hapa, nyani anakufa nyumbani
Tuwape Muda haahaaaKinacho-miss SIMBA ni kukosa aina ya players wanaoweza kulazimisha kama Pocome, Mzengeli na Aziz Ku..
Chama alikuwepo misimu mitatu yote tuliyofanya vibaya, hilo pengi hukuliona!? Acheni kutafuta kichaka cha kujifichia.Pengo la Chama linaonekana wazi kabisa.
Shujaa 1
Wanapinduliwa tu hapa πππoooh yanga inashinda kwa mbinde
mbinde yenyewe ndo hii sasa
Mashujaa walimkazia Azam now wanaelekea kumkazia Mnyama, msimu huu Bares kaisuka vema hiyo team hasa eneo la ulinzi.Ligi kuu kuna timu bora sema huwa hazikazi na kuweka usirias tu leo mashujaa wanaubonda hasa