Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ndo mechi za ukweli achana na mechi zenu zenye Maigizo ya Gsm😂😂😂😂 simba imekosa mvuto kabisa, yani mechi naisikiliza tu dirishani napata hata uvivu kuangalia.....
Wafungwe wazee wa mapigo na mwendo lawama uwape marefa.Yani katika vitu vya ovyo kushuhudia leo kati ya simba na mashuja ni upuuzi sana,marefa wa tanzania ni wa ovyo sana
kamari imelala hii
MPIRA UMEISHA MASHUNAA 0 SIMBA 0
Tumsubiri matusi kwa mzee wetu MANGUNGU.
Kwahiyo yanga ndio iahakuwa bingwa mapema ivii dah
Bro leo mmebana naniliu dakika 90, ila patupu 😹
Wameshinda ujue au hulijuiLeo hatutosikia kuwa
1;GSM ANAHARIBU LIGI
2;GSM ANANUNUA MECHI
3;GSM ANAHONGA WAPINZANI WA SIMBA
4;GSM ANAMILIKI TEAM 7
Hao ndiyo chupi upande fc
Bana sana pmb daaah, hongereni sana kweli simba inatisha 🤣🤣🤣🤣Kiko wapii 😂
Waambieni Mashujaa wawe wanakamia hivyo hata wakikutana na Kagera Sugar.Siyo wakicheza na Simba wajikute kama wanacheza fainali ya Champions League.Mamaaeeee!Hakuna kitu kinauma kama goli la dk ya mwisho. dudupori
Chomoa kama inauma.Afungwe Mashujaa ukatike wewe.Leo hatutosikia kuwa
1;GSM ANAHARIBU LIGI
2;GSM ANANUNUA MECHI
3;GSM ANAHONGA WAPINZANI WA SIMBA
4;GSM ANAMILIKI TEAM 7
Hao ndiyo chupi upande fc
Na ndio kilichotokeaHivi Simba bado inajenga kikosi?
Naanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa huyu kocha wetu
Siioni Simba ikiwa na muendelezo mzuri wa matokeo
Kikosi bora hata kikicheza vibaya lakini point 3 lazima zivunwe
Sasa unakunywa mataptap huko Ila hata hujui matokeo ya mechi unaropoka tu.Leo hatutosikia kuwa
1;GSM ANAHARIBU LIGI
2;GSM ANANUNUA MECHI
3;GSM ANAHONGA WAPINZANI WA SIMBA
4;GSM ANAMILIKI TEAM 7
Hao ndiyo chupi upande fc
Mawazo ya chupi upande fc kama huyu ni ya kusikitikia kwa kweliSimba tunakamiwa sana wazee