Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana ndugu. Usije ukaacha watoto na mama yao lakiniHuu mpira wa kibongo wakipumbavu sana.. mashujaaa wasenge sana
Iliingia yote mbona mayowe?Mtoto wachs kupiga mayowe.Poleni sanq mashujaa kwa kuonewa
Hawa chupi upande ndiyo kawaida yao
Nimeona hongereni wazee wa chupu chupu.....Mwamba umeona goal hilo?
Acha matusi fukara wewe.Mawazo ya chupi upande fc kama huyu ni ya kusikitikia kwa kweli
Unaanzaje kuacha kuikubali Simba?Bana sana pmb daaah, hongereni sana kweli simba inatisha 🤣🤣🤣🤣
Khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jitu la utopolo limezimia huku
Soma between the line hebu soma tenaSasa unakunywa mataptap huko Ila hata hujui matokeo ya mechi unaropoka tu.
Mkuu, umeona ubao lakini au unatype tu bila kuchungulia? 😀😀😀Leo hatutosikia kuwa
1;GSM ANAHARIBU LIGI
2;GSM ANANUNUA MECHI
3;GSM ANAHONGA WAPINZANI WA SIMBA
4;GSM ANAMILIKI TEAM 7
Hao ndiyo chupi upande fc
Aaaaah! Kamoja kanauuuuuuumaaaaa.Yani katika vitu vya ovyo kushuhudia leo kati ya simba na mashuja ni upuuzi sana,marefa wa tanzania ni wa ovyo sana
Ungemuacha apige simu kwa ndugu zake wamshangaeWameshinda ujue au hulijui