Mashujaa ambao lazima siku moja tutakuja kuwaenzi, hata ipite miaka 100

Yaan ww ovyo kabsa .. alafuu sio kila kitu unaaenda kutafuta ukweli wake youtube maan uko kila mtu anaweka chochote kwa manuufaa yake
 
Mkuu..umesema kweli tupu.

Kila nikiirudia ile video aliyovimbiana na polisi pale Nyamongo akiwaambia wakitaka wampige mabomu au wampige risasi lakini pale HAONDOKI.

Nasema huyu ndie haswaa kiboko ya Meko na ma ccm.
Haogopi kabisa kufa huyu shujaa - Hata alivokimbilia kwenda kulala ubalozi wa ujerumani na kusindikizwa airport ilikuwa ni maigizo tu ya "ntoke vipi?"
 
Kwa sababu Mara ya kwanza mlimtisha na mkampiga kweli risasi 16
Sasa mtu anaetunishiana misuli na polisi wenye bunduki huku akisema nipige kama unaweza, anakimbiaje kitisho cha kwenye simu?

Mbelgiji ana maigizo sana
 

Wanaenziwa na nani? Kambona alikimbia akajua akienda Ulaya basi lazima wamsaidie ili amnyooshe Nyerere. Akaishia kuishi maisha ya upweke na yasiyo na tija bila sababu.
Akarudi akidhani ataleta mapya..Mtikila mzee wa suspender akimpokea. Kumbe karudi na story za kufikirika hazina mbele wala nyuma. RIP Mzee Kambona. Kuna mengi tunaendelea kujifunza. Ili mjuaji hana popote atakwenda. Uongozi anatoa Mwenyezi Mungu sio watu wa Eastern London au Belgium
 
Sawa mamdogo cjui kama hata uliwahi ckia tu mlio wa bunduki
Sasa mtu anaetunishiana misuli na polisi wenye bunduki huku akisema nipige kama unaweza, anakimbiaje kitisho cha kwenye simu?

Mbelgiji ana maigizo sana
 
Hawa
Majina ya Hawa watu yameandikwa kwa wino wa dhahabu kwenye mioyo ya watanzania. Muda utaongea ngoja madaraja yapitwe na Wakati ndio tutwakumbuka kina Lissu maisha ni wakati.
 
4. Job ndugai _ kwa maamuzi magumu
[emoji1787]Amechukia sana huyu mh kwa kitendo cha akina Mh Mbowe kumtimua Halima uanachama,,

Ameahidi kumweka Halima bungeni hata kama hana chama.

Akumbukwe tu kwakweli hakuna namna ya kumsahau.
 
Yaan ww ovyo kabsa .. alafuu sio kila kitu unaaenda kutafuta ukweli wake youtube maan uko kila mtu anaweka chochote kwa manuufaa yake
Ni vizuri ukapinga hoja kwa hoja!! Wewe kama unawajua wachina alafu unadai wachina ni wajamaa basi wewe ni kilaza ulietukuka.

Kukwambia uende youtube ni kwa sababu Nina uhakika documentary zilizopo kule juu ya Dae xiaoping ni genuine.
 
Uzi uliojaa ushabiki, ni upuuzi, jarbu kuficha ujinga kidogo
 
Wataenziwa na watanzania wenye akili wanaojua tulipotoka na tulipotakiwa kuwepo kusingekuwepo na viongozi walioleta vitu vya ajabu vilivyofanya Tanzania iwe nyuma hadi leo.
 
Ni vizuri ukapinga hoja kwa hoja!! Wewe kama unawajua wachina alafu unadai wachina ni wajamaa basi wewe ni kilaza ulietukuka.

Kukwambia uende youtube ni kwa sababu Nina uhakika documentary zilizopo kule juu ya Dae xiaoping ni genuine.
Ok bhasi sawa shindaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…