Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.

Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.

Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote, kama kuna mtu amekupa pesa yake umshikie weeekaaa, kama unaweza kuchukua pesa ya mwajiri wako weekaaa. Utakuja kunishukuru baadae.
 
A
Acha roho mbaya mwanangu, kwa kuwa wewe juzi mkeka wako ulichanika, unaona ni vyema uwaingize mkenge wenzio ili mkose wote?

Jua ni kali sana hili mwanangu.. hadi kwenye mifuko
 
Kama sii kolo utakuwa mchezesha mechi ya singida na nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…