Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Attachments

  • IMG_6271.jpeg
    IMG_6271.jpeg
    90.5 KB · Views: 1
Kwa mujibu wa hii taarifa nani ameuza Nani amenunua?
Kitu chochote kikithaminishwa na pesa ni kuuza tu
Hata ukimtolea mahari mkeo ujue umenunua
Pesa inanua
Mkataba wa kocha ili uvunjwe lazima iwepo thamani ya pesa, hapo ndo kuuza

SWALI jingine?
 
Kitu chochote kikithaminishwa na pesa ni kuuza tu
Hata ukimtolea mahari mkeo ujue umenunua
Pesa inanua
Mkataba wa kocha ili uvunjwe lazima iwepo thamani ya pesa, hapo ndo kuuza

SWALI jingine?

Kwa bei gani? Haya kocha wa Singida mmenunua kwa bei gani?
 
Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.

Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.

Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote. Utakuja kunishukuru baadae.
Kwa hiyo Yanga imepanga kufungwa?
 
We jamaa hivi kweli umeenda shule?
Soma
Buy out clause
Release clause
Sell on clause

Jielimishe kuhusu biashara ya mpira na usajili dogo langu

Hamna kocha anauzwa mdogo wangu,wala kusajiliwa https://jamii.app/JFUserGuide you.
 
Back
Top Bottom