Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

1740122560259.jpg
 
Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.

Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.

Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote, kama kuna mtu amekupa pesa yake umshikie weeekaaa, kama unaweza kuchukua pesa ya mwajiri wako weekaaa. Utakuja kunishukuru baadae.
Yanga bingwa 😜😜
 
NEVER EVER
 
Msimsikilizee, huyu ni LBL masalia
 
Makocha Huwa wanafanyaje ili kuwa kwenye timu?
Kocha kama ana mkataba na timu bila shaka ananunua mkataba wake yeye mwenyewe..

Ila klabu inayomtaka hakuna biashara ya kuzungumza na klabu mmiliki eti tupeni kiasi hiki ama kile tuwaachie.

Hiyo sijawahi kusikia popote pale duniani.
 
Kitu kikithaminishwa na pesa ndo kuuza
 
Back
Top Bottom