Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

A

Acha roho mbaya mwanangu, kwa kuwa wewe juzi mkeka wako ulichanika, unaona ni vyema uwaingize mkenge wenzio ili mkose wote?

Jua ni kali sana hili mwanangu.. hadi kwenye mifuko
Hahah, tembea na mkeka huo
Si tumekubaliana kila mtu ashinde mechi zake nyie endeleeni kununua marefa.
Si tulikubaliana Azam, Namungo, Coastal ni matawi ya Simba, sasa kununua marefa kunatokea wapii?
Nikiona hizo nembo za Haier, G-Boost na GSM nachoka kabisa ila wajeda hawatakiwi kutuangusha.

  • Kicheko
Reactions: Tsh
Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.

Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.

Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote, kama kuna mtu amekupa pesa yake umshikie weeekaaa, kama unaweza kuchukua pesa ya mwajiri wako weekaaa. Utakuja kunishukuru baadae.
Kun faya kun
 
Hahah, tembea na mkeka huo

Si tulikubaliana Azam, Namungo, Coastal ni matawi ya Simba, sasa kununua marefa kunatokea wapii?

Nikiona hizo nembo za Haier, G-Boost na GSM nachoka kabisa ila wajeda hawatakiwi kutuangusha.

Nikiona hizo nembo za Haier, G-Boost na GSM nachoka kabisa ila wajeda hawatakiwi kutuangusha.
Screenshot_20250223_104915_Instagram.jpg

Ila sio mbaya refa muamala wake kauweka mfukoni.
 
Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.

Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.

Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote, kama kuna mtu amekupa pesa yake umshikie weeekaaa, kama unaweza kuchukua pesa ya mwajiri wako weekaaa. Utakuja kunishukuru baadae.
acha porojo,weka huo ushahidi wa gsm hapa
 
Halafu yule yule aliye maliza mechi wakati mlikuwa mnaenda kula la tatu.
View attachment 3246171
Bila shaka mnamlipa vizuri, mechi mbili yeye ndiye man of the match.
Si tulikubaliana Coastal ni tawi la Simba? Mpaka siku tawi la GSM nalo liwakazie kama hivi ndiyo tutaongea. Mpaka siku hiyo itakapofika, nenda na hili...

1000054410.jpg
 
Tawi lenu hilo si mnaazimana mpaka makocha.

Vip refa mmoja kuibeba timu moja mara mbili?
Sasa tawi linalazimishaje sare na linaendaje kufunga goli la ushindi dakika za mwisho? Embu kaeni chini mkubaliane na mje na hoja zisizojikangaja zenyewe.
 
Kipindi mnampiga goli 8
Kipindi mnaazima kocha kama ndala za msalani
 
Tawi si makubaliano,mmekubaliana kuazimana makocha so kukubaliana kutoa droo ni kitu kidogo.

Hili la refa mmoja kuwabeba mechi mbili unaliruka au hata wewe inaonekana halikupendezi.
 
Sasa kama makubaliano ni droo inakuwaje unaamini walikuwa wanaenda kufunga refa akamaliza mpira? Yaani ucheze na tawi lako mkubaliane kutoka droo wakati unahitaji kila point? Tulimalize hilo kwanza halafu twende kwenye hilo lingine.
 
Hilo tawi lenu
Muulize Mgunda
 
Sasa kama makubaliano ni droo inakuwaje unaamini walikuwa wanaenda kufunga refa akamaliza mpira? Yaani ucheze na tawi lako mkubaliane kutoka droo wakati unahitaji kila point? Tulimalize hilo kwanza halafu twende kwenye hilo lingine.
Sasa kama mlikubalina kuazimana makocha mbona hilo la droo dogo sana.

Naamini sababu niliona live ile move ya goli au mpaka hili linahitaji ubishi wakati mechi iliruka live.
 
Kipindi mnampiga goli 8
Kipindi mnaazima kocha kama ndala za msalani
Simba inazifunga timu goli 6, 7 katika group stage ya CAF Champions League tena katika mechi za kimaamuzi ndiyo ishindwe kumfunga mtu goli 8 kwenye NBC?

Kusema Simba imemuazima Mgunda ni sawa na kusema CRB imemuazima Saidi Kichwa kutoka utopoloni.
 
Sasa kama mlikubalina kuazimana makocha mbona hilo la droo dogo sana.

Naamini sababu niliona live ile move ya goli au mpaka hili linahitaji ubishi wakati mechi iliruka live.
Lini Coastal imechukua kocha wa Simba hadi kusema Coastal na Simba wanaazimana makocha? Toka Mgunda amekwenda Simba, ni lini amerudi kufundisha Coastal?
 
Back
Top Bottom