Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Yote ni matokeo ya mpira.
Yanga hatuhongi waamzi kama 5imba
Ushindi wetu hauna red card, penalties za ajabu kama watani
Yanga bingwa
Ushindi wenu mnaongea na technical benchi ya Timu pinzani ili mpangawe kikosi rojorojo. Kocha akigoma mnamwambia boss wenu wote GSM ili aongee na bosi wa Timu pinzani ...kocha anashushiwa rungu..upuuzi kabisa.
 
Rage aliwaita mbumbumbu Wanachama wa Simba
 
Sasa wewe utajulia wapi na akili zako hizo
Kwani kuuza ni kifanyaje?

Ngoja nikupe shule dogo.

Ili biashara ifanyike kwa maana kuuza au kununua lazima kuwe na haya

Bidhaa/huduma
Bei
Muuzaji
Mnunuaji

Tunakubaliana mpaka hapo?
Akirudi mniambie jamani
 
Ngoja nikupe shule dogo.

Ili biashara ifanyike kwa maana kuuza au kununua lazima kuwe na haya

Bidhaa/huduma
Bei
Muuzaji
Mnunuaji

Tunakubaliana mpaka hapo?
Akirudi mniambie jamani
Ukitia bidhaa ukalipwa pesa umeuza
Mtakuwa wajinga mpaka lini?
Kocha wako timu imemhitaji ikalipa pesa hapo umeuza tayari
 
Ukitia bidhaa ukalipwa pesa umeuza
Mtakuwa wajinga mpaka lini?
Kocha wako timu imemhitaji ikalipa pesa hapo umeuza tayari

Sawa kwa Bei gani? Mmeuza Kocha wenu?

Je unaenda kinyume na Taarifa ya club yenu?
 
Back
Top Bottom