severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Pamoja na ukweli kwamba mimi ni simba ila umenichekesha ha ha haKikosi Kipana Kimepanuliwa
Ndio maana Rage aliwaita Mbumbumbu!Hiki kikosi mlipocheza na KMC mlimwaga misifa humu kwamba hii ndio maana ya kikosi kipana. Leo mmeona wachezaji mizigo
Wanamapenzi hawa ila bado wamekula za uso"Huyu refa wa Leo, Tff wamfukuze.
Haiwezekani aongeze dakika 7 zote mpaka tumefungwa goli" [emoji23] [emoji23]
Na watapanuliwa sana😁😁😁Kikosi Kipana Kutoka Msimbazi, Leo Kimekutana na Mashujaa Wapunuaji.
Kwa Hakika KIMEPANULIWA Yakhe!.
Narudia tena,
KI-ME-PA-NU-LI-WA[emoji23] [emoji23]
Leo mbereko imechanikaHata ile ya nkana walibebwa refa alikuwa hajatenga mpira na leo walitaka hivo mikia buana zis is simbwa
"Afu Ile faulo ya mwisho,Wanamapenzi hawa ila bado wamekula za uso
Huyu siyo kocha kabisa.Billion 5 bado tunafungwa na watoto wa Kigoma chaa!Husika na kichwa cha habari hapo
Huyu kocha wa Simba ana dharau sana hawezi kutupangia kikosi cha kijinga kama kile. Hizo zote ni dharau kwa mfumo huu Simba hatutafika popote; ligi hatachukua na hata huko Africa tutatolewa mapema sana.
Kwa dharau ya leo tumeumia sana aisee tunachekwa sana. Kumbukeni Simba sio ya kwenu Simba ni ya washabiki, huyu kocha afukuzwe arudishwe kwao atuachie timu yetu wenyewe maana huu ujinga sasa. Wachezaji wote amewaacha anaanzisha wachezaji wa kijinga.
Wana Simba huyu kocha ana dharau na kibaya dharau sio nzuri katika mpira. Kikosi kipana hakuna pale tunataka kikosi cha kwanza kilichoiua Mkana ndo kicheze aisee.
Unaonekana umeinjoy sana Bosi."Afu Ile faulo ya mwisho,
ilitakiwa iwe penati, Kipa wa Mashujaa aliunawa kwenye 18"
Simba DamuDamu Says [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji115]
Hts= hatavyuraaaa katika ubora wenu!! Umeandika as if unakimbizwa! Au unatumia kasimu ka touch. Maneno kibao yana errors hats hayaeleweki " Mara Sumba (sijui ndo simba?) vipi mkuu!!
Nmekumiss sana wee Dada, LEO MASHUJAA WAMENIKOSHA NAFSI[emoji23] [emoji23]Unaonekana umeinjoy sana Bosi.