Mashule na maofisi jiji la bandari la Haifa vyafungwa.Maelfu ya raia wa Israel waingia kwenye mahandaki

Mashule na maofisi jiji la bandari la Haifa vyafungwa.Maelfu ya raia wa Israel waingia kwenye mahandaki

Jeshi la Israel limetoa ripoti yenye mkanganyiko baada ya Hizbullah kurusha maroketi mengi nchini humo.
Katika taarifa mpya jeshi hilo limesema mashule yote katika mji wa Haifa yatabaki yamefungwa mpaka itakapotolewa tangazo jengine.
Maelfu ya watu vile vile walilazimika kujificha kwenye mahandaki kwa muda,
Upande wa maofisi ya serikali na mashirika binafsi wenyewe tu waliamua kutokwenda sehemu zao za kazia kufuatia maroketi hayo kutua jijini humo,
Taarifa hiyo ni tofauti na ile iliyotolewa mwanzoni kwamba jeshi hilo liliona maroketi 10 tu yakivuka mpaka kutoka Lebanon kuingia Israel na kwamba machache kati ya hayo yalianguka ardhini wakati yaliyobaki yalitunguliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.

Israel army says hundreds of thousands take cover after new Hezbollah barrage

View attachment 3103252
kwani Mungu wa israeli hakuyaona haya makombora mpk wateule wetu wanakimbia kimbia ndani ya nchi yao
 
Back
Top Bottom