Masika imeanza...

Akikulipa inabidi wewe ndio ujiuze, otherwise wewe umlipe yeye as male escort.

Naah, mi nina mwiko wa kumhonga mwanaume au kumlipa hela kwa huduma aliyonipa. Sana sana hizo snacks ndo itakuwa malipo yake pamoja na maji ya kuoga na sabuni na vinywaji Ila sio beer wala whisky. Cash ...... nop sitoi aiseeh naipenda sana pesa yangu.

Na yeye atahusika kunipa hela sababu mie ni mwanamke japo ndio mwenye uhitaji wa huduma pevu.

Kujiuza nehi noop naah, hata kuuza duka sipendi mimi....

Umenifanya nikumbuke huu wimbo tuliimbiana kitaani miaka ile mtu akikaa vibaya halafu mwandani wake anaonekana waziwazi....

"Duka la mzungu liwazi, lauza mchele na nazi, kitumbua sio andaziii aahahaha looh."

K' Matata.
 
Kuna kipindi niliona pia kuna wanaume..

Lakini hatakulipa,wewe ndo inatakiwa umlipe kwa chochote utakachokuwa unahitaji kutoka kwake iwe ni kukusindikiza club,kwenye party au hata kukufvck

Woow kuna ambayo imenivutia, hiyo ya kunisindikiza club na anakuwa kama bae wangu.....yeey awe tuu anajua kucheza mziki masala mengi maana huwa sichoki mimi aahahahaa. Kwa huduma hii ntamlipa Ila baada ya club kila mtu arudi kwake na tukiwa club bili atalipa yeye mie ntatumia sana sana glass moja ya wine ikibidi laah maji ya moto tuu....
 
Shida yake ni hela hivyo vingine kaviacha nyumbani kwake.
 
Tafsiri na lengo halisi la escort business ni hilo. Kuna watu wana nafasi hawana wenza, kwenye mialiko fulani inabidi kwenda na mwenza so unatafuta escort. Unasema muendako ni mualiko wa aina gani. Kama ni business meeting, political etc unapewa escort mwenye uelewa na hayo mambo ili hata kwenye few conversation asikutie aibu au aonekane yupo out of place. Kwa wenzetu unakuta ni watu walioenda shule na kujitambua. Hayo ya happy ending ni makubaliano mengine nje ya huduma hio.
 
Masika imeanza, mvua inanyesha tangu jana mfululizo usiku kucha hadi dakika hii bado inanyesha.

Shemeji yenu kaenda kwao kwa ajili ya Pasaka maisha yamekuwa magumu sana.

Tupeane mbinu mbadala kuepuka upweke na mvua hizi
Aiseee
 
Mkuu escort unamlipia yeye binafsi hana shida ya kufurahishwa. Kazi yake ni kukufurahisha kwa malipo, period
 
Unachokisema hapa ni kama vile kuenda bar na kuagiza bia na kisha kumwambia meneja wa bar alipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…