Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Akikulipa inabidi wewe ndio ujiuze, otherwise wewe umlipe yeye as male escort.
Naah, mi nina mwiko wa kumhonga mwanaume au kumlipa hela kwa huduma aliyonipa. Sana sana hizo snacks ndo itakuwa malipo yake pamoja na maji ya kuoga na sabuni na vinywaji Ila sio beer wala whisky. Cash ...... nop sitoi aiseeh naipenda sana pesa yangu.
Na yeye atahusika kunipa hela sababu mie ni mwanamke japo ndio mwenye uhitaji wa huduma pevu.
Kujiuza nehi noop naah, hata kuuza duka sipendi mimi....
Umenifanya nikumbuke huu wimbo tuliimbiana kitaani miaka ile mtu akikaa vibaya halafu mwandani wake anaonekana waziwazi....
"Duka la mzungu liwazi, lauza mchele na nazi, kitumbua sio andaziii aahahaha looh."
K' Matata.