Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Ni uzuri ni kwamba hakuna anayekulazimishaWooh, hii siiswezi asilani. Sitoi pesa yangu kwa mwanaume kwa malipo ya kunyanduana. Basi huduma hainifai hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uzuri ni kwamba hakuna anayekulazimishaWooh, hii siiswezi asilani. Sitoi pesa yangu kwa mwanaume kwa malipo ya kunyanduana. Basi huduma hainifai hii.
Nikupe escort mkuu ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha muhimu ni kuukubali tu vinginevyo pepo la incest linakunyemelea kwa kasi [emoji16][emoji16]Ukweli unauma!
Upo pretty lady?!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh ndio😳😳😱😱
VizuriSomo limeeleweka loud and clear.
Ha ha ha ha Daah, Dada umeniua bwana sio ufisi ni uhalisia kwa ground ulivyo
Sisi wa kugombea daladala hatuna chetu!
Haya bana mkuu msalimieni Tally Hunter.Yes..lakini sishauri sana mtu ku-hire an escort girl..haya mambo yanafikia point inakuwa kama addiction
Sisi binadamu baadhi tunapendaga kujaribu mambo mapya bila hata ya kuangalia athari zake sometimes
Hawa wadada baadhi wana kazi kabisa,ila ni wale wanaopenda maisha ya juu..kupanga nyumba ya 850k/month huku mshahara takehome ni 400k..
Kazi ipo....mimi sikumbuki mara ya mwisho kwenda club ni lini!