Masika imeanza...

Masika imeanza...

Sisi wa kugombea daladala hatuna chetu!

Wewe uko kwenye kundi la bimmer, hayo nayo ni ugonjwa wangu.... Nakumbuka X6 ilivyonitoa udenda Joberg hadi nikaipata aahahahahaaa Kasie mie...looh.
 
Yes..lakini sishauri sana mtu ku-hire an escort girl..haya mambo yanafikia point inakuwa kama addiction

Sisi binadamu baadhi tunapendaga kujaribu mambo mapya bila hata ya kuangalia athari zake sometimes

Hawa wadada baadhi wana kazi kabisa,ila ni wale wanaopenda maisha ya juu..kupanga nyumba ya 850k/month huku mshahara takehome ni 400k..
Haya bana mkuu msalimieni Tally Hunter.
 
Wewe uko kwenye kundi la bimmer, hayo nayo ni ugonjwa wangu.... Nakumbuka X6 ilivyonitoa udenda Joberg hadi nikaipata aahahahahaaa Kasie mie...looh.
Maneno ya mtandaoni tu yasikuingize chaka...so you are pushing X6 now?
 
Usimsahau na Kasie

Wee baba Batalingaya weeweee, yaani unaninadi hivi hivi najiona na hali ya hewa hii...
Ntaweza kukataa kweli...

Mabungo hutaki kuniletea wala sanvita, ila kuninadi aaahhh....
 
Back
Top Bottom