Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
ulipotelea wapi mzee[emoji848]
Mkuu kwani kula nyama NDIO utajiriππππππππππ€£π€£π€£Jamani tutafuteni pesa kwa bidii tuache kuendekeza chuki na wivu kwa wenzetu waliofanikiwa.
Mwenzio yupo tu sawa anakula nyama kavu bila ugali afu wewe unahisi Kama jamaa anaharibu mboga π
Masikini kamwe hawezi kumudu kula nyama pekee yake,Hilo lipo wazi Sana.Mkuu kwani kula nyama NDIO utajiriππππππππππ€£π€£π€£
Kuna mitaa flani kariakoo Kuna restaurant ya WAMASAI Kuna supu za maana nyama safi π mishikaki mizuri sana imenona na mikubwa mikubwa...
Ndipo nilikuja kuamini π WAMASAI wanapenda nyama aiseeπππππ€£π€£π€£
Hakuna gumu ambalo sijalipitia mimi, usinitisheBado hujakutana na mwalimu ulimwengu....utatamani kuja kuufuta huu uzi
Wazi afandeeeMasikini kamwe hawezi kumudu kula nyama pekee yake,Hilo lipo wazi Sana.
Masikini kamwe hawezi kumudu kula nyama pekee yake,Hilo lipo wazi Sana.