Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanashindwa kuwlewa is not about uchawa is how you performUmmy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Ivo yaanUkipewa nafasi ya kuwa chawa piga pesa tembea
Kwa mavitu kama haya alipaswa AONDOKE Tu na next ni Janabi. Amekua mwana siasa na Social entertainer kuliko taaluma.
Mkuu, za uzima?Ukiwa mteuliwa kumsifia mteule ni sehemu ya job responsibilities.
tueleze maeneo ambayo alifanya vizuri.Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Ummy alikuwa mpambanaji enzi za Magu tu saizi kapoa sanaaaaUmmy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
NHIF na Bima vimekiwa mwiba kwakeUmmy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
-Kuboreshwa miundombinu ya Afyatueleze maeneo ambayo alifanya vizuri.
kipindi cha ummy ni kipindi ambacho tumeons mengi ya hovyo.
BIMA ya afya kwa watu wote hilo ndo eneo muhimu ktk wizara ya afya linabeba 100% ya human being .
sasa kama alishindwa eneo hili ni kitu gani tena.
co function za wizara ni AFYA ie matibabu.
hapa alifeli mno
🚮🚮Ummy alikuwa mpambanaji enzi za Magu tu saizi kapoa sanaaaa
Kunankazi 2 dunian kufa na uchawa chagua 1Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Hicho kimama kimechelewa sana kutolewa. Kimedhoifisha sana sekta ya afya hususan NHIF kwa kukosa weledi na ufisadiUmmy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Ummy hakua compitent sema sura yake ilimbebaUmmy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Rais Kakosea sana.Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!