Masikini alivyokuwa anampamba Samia, leo kamtoa kweli? Ummy Afya at least alimudu by over 90% Kizuri hakikosi kasoro

Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
tueleze maeneo ambayo alifanya vizuri.
kipindi cha ummy ni kipindi ambacho tumeons mengi ya hovyo.

BIMA ya afya kwa watu wote hilo ndo eneo muhimu ktk wizara ya afya linabeba 100% ya human being .
sasa kama alishindwa eneo hili ni kitu gani tena.
co function za wizara ni AFYA ie matibabu.
hapa alifeli mno
 
Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
NHIF na Bima vimekiwa mwiba kwake

Hata hivyo miaka 14 ya Uwaziri ni Mingi sana.

Mwisho hakuna ambae hampambi Rais ni lazima kumpamba bosi wako sio hiari na anampamba Kwa uhalisia sio Kwa uongo.
 
-Kuboreshwa miundombinu ya Afya
-Kuboreshwa vifaa tiba na dawa
-Maelfu ya Ajira
-Kuoungua Kwa Vifo vya Watoto Wachanga na wamama wajawazito
-Ameasisi kupatikana Kwa sera ya bima ya Afya Kwa wote
-Rufaa za Wagonjwa kwenda Nje ya Nchi ni kama hazipo kabisa badala yake wageni ndio wanakuja
-Kuimarika Kwa Huduma tiba za kibobezi ikiwemo Baadhi ya vifaa tiba ,madawa kuzalishwa na hospital zetu
-Bohari ya Taifa ya Dawa kupata soko Sadc yote.

Mwisho Changamoto kubwa imekuwa ni Bima ya Afya na sababu ni yule Mama wa Bidi Spika Mstaafu,hakuna kitu pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…