Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Umeandika nini ?
Nakusaidia, nimeuliza kwa vijana wanaoshinda mitaa hii ya Shoppers Plaza...pita kijinjia jirani na ofisi za XCAR, mbele kidogo kuna kuna kanisa ( hili kanisa lipo chini ya wakorea).
Ukiwa mitaa hiyo kuna sehemu vijana wanacheza Playstation games hapo waulize Kibanda cha chips.
Utamuona Chid Benz baada ya hapo njoo tena na Shudu za Ray -C. Si hampendi kuambiwa ukweli; Mwenzenu kaisha anakula vyakula vya Magengeni Msasani na kugongea Juu..
Mkuu usikasirike...vijana ama watanzania wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweli. Binafsi I couldn't care less for Chid Benz, watu wengi tu walitaka kumsaidia yeye analeta utemi. Atajiju!
