Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawajua watu waliokuwa wateja mpaka jamii ikawakatia tamaa, lakini kwa msaada kidogo na wao wenyewe kuamua, japo ni kazi ngumu sana wamebadilika. Hakuna mteja yeyote anayejivunia kutumia madawa, sema wanakuja kushtuka wakti gari limeshawaka na kuacha si jambo rahisi. Tusiwe tunawabeza hawa watu tu tukaona tumemaliza kazi, tukumbuke kuwa makini na kuwaelimisha vijana(watoto na wadogo zetu) kuhusu matokeo ya madawa ya kulevya. Drug lords ndio wanaotuulia ndugu zetu, hao ndo wakuwashikia bango kabla jamii haijabaki na wazee tu.
Kwani nikipigwa ban pumzi inakata au siendi chooni mwehu ninii!!!!!!
mitaa ya king'oko hiyo..namkumbuka mwanangu toti a.k.a tito a.k.a langa...alinipa story ya jinsi watu wanavyotegwa kuingia kwenye poda, noma sana..we jua tu hakuna mtu anaamka asubuhi anasema leo ngoja nijaribu sembe kama wapo basi wachache sana...kwa kifupi mitaa ya kino usigongee fegi (ikiwezekana uwe na pakti yako), bangi nyonga mwenyewe kwenu, usiruhusuruhusu wahudumu wafute glass yako ya bia na tishu n.k....kitu heroine unaweza kuwa addicted kwa kuitumia hata mara nne tu sio mpaka miaka na miaka....wauza sembe wanatekniks nyingi...usije ukadhani upo safe sana na sembe..
Unaendelea na matusi sawa bwana
Sema mziki sio gari kila mtu akijifunza atajua.
Habari zenu Wanaukumbi.
Wadau sanaa, kwa siku mbili hizi nilizokuwa na shughuli kadha wa kadha mitaa ya Mikocheni (Shoppers Plaza) nimepata pishana kama kusalimiana na Msanii huyu nguli wa Hip Hop.
Chid Benz anahitaji msaada wa Haraka sana, kama ni hivi vilevi vyao (Sembe) hatua aliyofikia sio nzuri. Anatia huruma, mwili umekosa afya kabisa siyo yule anayeng'aa kwenye Luninga.
Najua humu wadau wake mpo wengi ... Tafadhali sana tafuteni jinsi ya kumrudisha kwenye Mstari wa Maisha huyu kijana.
Kuna mengi sana nimeyaona kwa huyu kijana, na yanaumiza kweli.
Ukiona nakukera hupendi kuniona kuna ignorelist sawa we pimbi
Kweli unga ni mmbaya, hebu fananisha na hapa
Msaada gani anahitaji pesa au maombi?
Msaada gani anahitaji pesa au maombi?
Pesa?! Ili akanunue kilo za unga alewe atoboe tunda lingine hapo puani mhPesa dada maombi hata kwao watamuombeaa
Sembe hilo mkuuHalafu mbona kawa kama 'mtoto wa watu'?
Unaweza pishana nae usimjue kabisaAisee Poda ni noma jamaa kachoka namna hii?? Mungu saidia jamaa arudi katika hali yake ya kawaida
Mkuu hiyo inategemea mtu na mtu, mfano Tid ukianza tu kumshauri kuacha unga mnagombana hapo hapo, atakukosea adabu kwa maneno machafu na kuondoka.