Masikini chid benz afya yake inazidi kudhoofika

Masikini chid benz afya yake inazidi kudhoofika

Nawe ni kama wawashwa hivi ! Tusi lipi umepewA hapo, au ndio walewale wa Ngada, funguka tuanze Rehab... Hapa hapa Jamvini , maana tuna ambiwa Charity bgn at Home

Hebu nisaidie watu kama hao humu wamo wengi tu
 
Ila sauti ya king kong ipo pale pale

"King kong la familiaaaa tanzaniaaa (tanzaniaaa) lamar classmate!! Napata heshima mafans wa kila aina silii njaa nipo peace linanilinda jina"--Huyo ndio rashid makwilo nayemjua ila huyo wa ngada anasikitisha hoya mazungu ya unga mnawapoteza vijana D.A.R.E

img-thing


dare-logo.gif
 
Back
Top Bottom