Masikini chid benz afya yake inazidi kudhoofika




Mkuu usikasirike...vijana ama watanzania wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweli. Binafsi I couldn't care less for Chid Benz, watu wengi tu walitaka kumsaidia yeye analeta utemi. Atajiju!
 


Huyu hapo mkuu!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Safi sana acha achoke awe kizee kama tid....labda akili itakuja,watu wanaotaka kumsaidia anawatukana au kuwapiga.

Sikulifahamu hili aisee! Kwajinsi alivyo sidhani Kama anaweza mudu ugomvi hata Madame B anaweza mtoa nishai
 
Last edited by a moderator:
Karibu sanaaa
Kvoo's Multimedia
Tutumie kazi ya muziki wako au filamu yako kupitia kvoosmultimedia@gmail.com ipate nafasi ya kushiriki tuzo za KILAMWEZI CONTEST AWARD zitakaonza rasmi tarehe 1 september 2014. Kwa maelezo zaidi tupigie 0717342232 au 0656613030. Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa watu Uwapendao ili kusaidia vipaji na sanaa ya Tanzania kukuwa zaidi.
 

Mkuu hiyo inategemea mtu na mtu, mfano Tid ukianza tu kumshauri kuacha unga mnagombana hapo hapo, atakukosea adabu kwa maneno machafu na kuondoka.
 
Last edited by a moderator:
Ulivyojibu tuu sio kwamba unataka afe ila humfill tu Chid benzi.Ulishaomba kolabo wkt underground akakutosa nini?Just imagination don't take serious.

Napenda miziki yake,,,sijawah tarajia niwe mwanamuzikii hata siku mojaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…