Masikini chid benz afya yake inazidi kudhoofika

Hakuna shujaa wa unga,umewakalisha chini nyota kibao sembuse chid benz?wp whitney houston na actor wa home alone?ni janga kubwa kuliko tunavyofikiria sisi!
 
Nawajua watu waliokuwa wateja mpaka jamii ikawakatia tamaa, lakini kwa msaada kidogo na wao wenyewe kuamua, japo ni kazi ngumu sana wamebadilika. Hakuna mteja yeyote anayejivunia kutumia madawa, sema wanakuja kushtuka wakti gari limeshawaka na kuacha si jambo rahisi. Tusiwe tunawabeza hawa watu tu tukaona tumemaliza kazi, tukumbuke kuwa makini na kuwaelimisha vijana(watoto na wadogo zetu) kuhusu matokeo ya madawa ya kulevya. Drug lords ndio wanaotuulia ndugu zetu, hao ndo wakuwashikia bango kabla jamii haijabaki na wazee tu.
 

Umenena Makuu Sana ndugu, Watu wanabeza hapa Kama wamenyimwa vizazi, hawana ndugu, yaani hawajui matatizo ya kijamii Kama haya siyo ya Kuweka maneno ya kejeli.

Unga una haribu jamii yetu, lakini kuna wapuuzi wanachekelea hapa!
Tafakari.🗿♠
 
mitaa ya king'oko hiyo..namkumbuka mwanangu toti a.k.a tito a.k.a langa...alinipa story ya jinsi watu wanavyotegwa kuingia kwenye poda, noma sana..we jua tu hakuna mtu anaamka asubuhi anasema leo ngoja nijaribu sembe kama wapo basi wachache sana...kwa kifupi mitaa ya kino usigongee fegi (ikiwezekana uwe na pakti yako), bangi nyonga mwenyewe kwenu, usiruhusuruhusu wahudumu wafute glass yako ya bia na tishu n.k....kitu heroine unaweza kuwa addicted kwa kuitumia hata mara nne tu sio mpaka miaka na miaka....wauza sembe wanatekniks nyingi...usije ukadhani upo safe sana na sembe..
 

Sumtym ni wenyewe wanaanza uteja unakuta mtu mda wote ni pombe na bangi,bdae anakua hasikii ulevi hpo ndio anaanza kula vumbi chafu.
Wko wengi sana ila bdo hawajashika kasi angalia chid,qchief,rayc walikua vizuri sana kimuziki na kimaisha
 

Ukitoga masikio na pua kwetu ni ushamba sometime pia ni ushoga

Nash mc
 
Ray C aliona mbali sana jamaa anahitaji msaada kiukweli nashangaa diamond,,dully,ay na tuddy wamefanya song lakini hawajamwambia chochote kuhusu rehab.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…