Ukiona nakukera hupendi kuniona kuna ignorelist sawa we pimbi
Dah umenitukana tena .
Nawe ni kama wawashwa hivi ! Tusi lipi umepewA hapo, au ndio walewale wa Ngada, funguka tuanze Rehab... Hapa hapa Jamvini , maana tuna ambiwa Charity bgn at Home
Dah umenitukana tena .
Kama nimekuchafua kalambe ndimu usitapike ( sauti ya daimond)
Mods mpige ban huyu kama warumi kanitukana.
Heeeheeeeeee kalambe ndimu kama nimekuchafuaaaa
Dah unanicheka poa tu.
Nenda kwao
daaaaaaaaaaah
Kwani nikipigwa ban pumzi inakata au siendi chooni mwehu ninii!!!!!!
Kwani nikipigwa ban pumzi inakata au siendi chooni mwehu ninii!!!!!!
ha ha ha una mchochea dada wa watu aingie king la ban daah
Ila sauti ya king kong ipo pale pale
Kama umejua namtafutia ban ila kashtuka.