tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Hakika masikini wanaingia kundi la singo maza na walimu kila MTU sasa kaamua kujipigia Kama Panchi begiJf mtu akishapata ka kazi ka kulipwa mili 1 nae anaanza vimba na kutukana maskini 🚮
😁😀😂😆😄Jf mtu akishapata ka kazi ka kulipwa mili 1 nae anaanza vimba na kutukana maskini 🚮
Nendeni mkaijaze dunia.Una kuta mtu hana hata nyumba lakini tayari ana watoto zaidi ya watano na kila mtoto ana mama yake. Ukimfuatilia huyo mtu hana kazi, kula yake tu matatni. Ifike mahali serikali iweke zuio kwa hawa watu, tutapunguza idadi ya watoto wa mtaani ''Mtaa hauzaii''
Utoto au ushambaJf mtu akishapata ka kazi ka kulipwa mili 1 nae anaanza vimba na kutukana maskini 🚮
Ushamba na utoto vyote ni majibuUtoto au ushamba
Maana yake Afrika ni masikini 🤣Ina maana bara la Afrika halitakuwa na watu, futa hiyo kauli.
Single maza na walimu sio maskini.Hakika masikini wanaingia kundi la singo maza na walimu kila MTU sasa kaamua kujipigia Kama Panchi begi
Inasikitisha sanaUshamba na utoto vyote ni majibu
Kwani uongo kuwa watanzania wengi kipato hicho hawana?Jf mtu akishapata ka kazi ka kulipwa mili 1 nae anaanza vimba na kutukana maskini 🚮