min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
UmejuajeKwani uongo kuwa watanzania wengi kipato hicho hawana?
UmejuajeKwani uongo kuwa watanzania wengi kipato hicho hawana?
Niko research centreUmejuaje
HongeraNiko research centre
Maskini ni mtu wa kipato gani,tuanzie hapo kwanza...Una kuta mtu hana hata nyumba lakini tayari ana watoto zaidi ya watano na kila mtoto ana mama yake. Ukimfuatilia huyo mtu hana kazi, kula yake tu matatni. Ifike mahali serikali iweke zuio kwa hawa watu, tutapunguza idadi ya watoto wa mtaani ''Mtaa hauzaii''
PoaHongera
Walimu mtuache jamani.Hakika masikini wanaingia kundi la singo maza na walimu kila MTU sasa kaamua kujipigia Kama Panchi begi
Kama hujafanya utafiti huna haki ya kuongea!Una kuta mtu hana hata nyumba lakini tayari ana watoto zaidi ya watano na kila mtoto ana mama yake. Ukimfuatilia huyo mtu hana kazi, kula yake tu matatni. Ifike mahali serikali iweke zuio kwa hawa watu, tutapunguza idadi ya watoto wa mtaani ''Mtaa hauzaii''