Masikini iwe marufuku kuzaa ili tupunguze omba omba na watoto wa mtaani ''Mtaa hauzai''

Maskini ni mtu wa kipato gani,tuanzie hapo kwanza...
 
Kama hujafanya utafiti huna haki ya kuongea!
 
Ma diamond angeacha kuzaa tusingefaidi buti la jeje
Acha watu wazae maisha ni safari ndefu lolote laweza tokea
"Masikini na watoto bali tajiri na mali zake"
 
Moja Umasikini ni nini ambao unaongelea wewe ? Ukosefu wa kipato guaranteed au ?

Mbili kwamba umasikini ni genetically au ukizaliwa na wazazi matajiri hali haiwezi kubadilika na wakafirisika baadae ?

Tatu kwamba hawa watoto wa mtaani kwao kuna shida mfano hakuna Malazi na Mavazi (baadhi ya basic needs) hadi wanakwenda kuyapatia mtaani ?

Conclusively; Je haya mambo ni black or white kama unavyosema au ni jambo complicated kidogo ambalo kila case ina vary ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…