Wangapi wanawacha watoto ila baada ya mwezi nyumba inauzwa na ndgu au watoto kilipa madeni ya marehemu......Ukitaka kuona Umuhimu wa Kujenga, Kufa alafu uache watoto wako 3 ama 4 kwenye nyumba ya Kupanga.
Hata kama unadhani ni umasikini kuanza kujenga lakini ni muhimu sana Kaka. Tafakari kwenye hilo
Hakuna Baba mwenye gari ila kuna Baba mwenye nyumba.
Lakini ni mara chache sana kushuhudia Kesi za namna hiyo.Wangapi wanawacha watoto ila baada ya mwezi nyumba inauzwa na ndgu au watoto kilipa madeni ya marehemu......
Kusomesha watoto Vs kuwajengea nyuma. Kipi bora zaidi ikuwa umekufa?Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.
Maneno kama ya jamaa hapo aongee mtu mwenye uchumi mkubwa sio wakati au wa kubangaiza.Nimezunguka sana nyumba za kupanga faida niliyoipata ni kukosa furaha na amani ndani ya nyumba hizo..
Sasa nipo kwangu wanangu wanazunguka ndani ya fensi Kwa furaha mtambuka...
Kupanga ni kuchagua. Over
Uzi huu umeandika ukiwa kwenye nyumba ipi? Ya kupanga au yako?Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.
Naaam, hakika nyumba za kupanga ni matesoNimezunguka sana nyumba za kupanga faida niliyoipata ni kukosa furaha na amani ndani ya nyumba hizo..
Sasa nipo kwangu wanangu wanazunguka ndani ya fensi Kwa furaha mtambuka...
Kupanga ni kuchagua. Over
Mateso ni kukosa pesa, wala sio nyumba za kupanga!Naaam, hakika nyumba za kupanga ni mateso
Upo sahihi kamili mkuu...😝Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.
Unaponda walio jenga wakati huo unaishi kwenye nyumba iliyo jengwa na wanaume wenzio hivi una akili kweli?Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.