Masikini kuwaza kujenga nyumba ya kuishi ni umasikini pia

Masikini kuwaza kujenga nyumba ya kuishi ni umasikini pia

Katika maisha ya mwanada Nyumba ni hitaji la muhimu sana.
Waliosoma Manslow Theory of Human Needs wanafanamu vizuri.

Mtu unaenda kufanya kazi mbali na Nyumbani kwako. Manyanyaso ya nyumba za kupanga yanafahamika.

Ni bora ujenge hata chumba kimoja chako uanzie maisha, huku ukiendelea kujenga kidogo kidogo.

Tulioanzia nyumba za kupanga tunazifahamu kadhia zake.
Mi nimepanga hamna kadhia yoyote tatizo umepanga wapi buza au tandale,huko hata ukijenga tatizo liko palepale

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kukuta mleta mada yuko kwenye Nyumba yake halafu analeta mada kama hii.
 
Babuu fanya mambo yako yote ya anasa lakini usisahau tofari na cement ,sahv kuna vifo vya ghafla ,ajali ,kurogana n.k utakuja kuaacha wanao wanataabika kwenye nyumba za kupanga hasa kwa waliozaliwa mijini ,wajengeee nyumba ilii hata ukifa hawawezi kosa chakula watakula hata kwa majirani kama ujila baada ya kuwasaida kazi ilaa watarudi kulala kwao bila bughuzi yeyote

Kumbuka dunia haina huruma kwenye vitu vingi ila ina huruma kwenye chakula mtu akisema ana njaa ni rahisi kupewa chakula na akaishi
 
Housing inajenga equity overtime , badala ya kutunza na kulipia na kuongeza equity ya mwingine afadhali uifanye kwako .
Pili ile land na nyumba zinapanda value kila kukicha bila mwenyewe kufanya chochote ,risk ya devaluation ipo chini ila biashara ipo frought na risks nyingi sana .
Usidanganye umma , wabongo jengeni ,biuld equity mbeleni ardhi hiyo inayoonekana haina maana kwa ss mbeleni kuigusa au kupata itakuwa noma.
Hawa waongo wenye fikra za kichawi achaneni nao

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.
Bora kuwa na kakibanda kwanza
 
wewe akili zako hazina akili
jenga nyumba hata vyumba viwili wanao wafurahie kwao
 
Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.
Wabongo aka waturutumbi wao wanachojua uwa ni kujenga nyumba tu ndio investment, kumbe ni akili za kimaskini walizonazo. Kujenga nyumba ni investment ikiwa tu hio nyumba ni ya kupangisha sio kuishi otherwise ni liability, utumie milioni 100 uisimike tu hapo ardhini huku unapiga miayo kila siku mwishowe ufe kwa diabetes shauri ya kufakamia vyakula vya ng'ombe i.e ugali wa mahindi na maharage 😂 😂 😂 . waturutumbi aka wabongo uwa hawawazi kua hio pesa ya kujenga wangeweka fixed deposits au wangenunua bonds BOT ni investment nzuri kuliko kujenga kibanda huko kigamboni. US baby. 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom