Wabongo aka waturutumbi wao wanachojua uwa ni kujenga nyumba tu ndio investment, kumbe ni akili za kimaskini walizonazo. Kujenga nyumba ni investment ikiwa tu hio nyumba ni ya kupangisha sio kuishi otherwise ni liability, utumie milioni 100 uisimike tu hapo ardhini huku unapiga miayo kila siku mwishowe ufe kwa diabetes shauri ya kufakamia vyakula vya ng'ombe i.e ugali wa mahindi na maharage 😂 😂 😂 . waturutumbi aka wabongo uwa hawawazi kua hio pesa ya kujenga wangeweka fixed deposits au wangenunua bonds BOT ni investment nzuri kuliko kujenga kibanda huko kigamboni. US baby. 😂 😂 😂 😂