Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Nchi hii Ina watu wajinga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana kwa sisi makapuku kujenga nyumba ni hitaji la muhimu sana.Manyanyaso ya nyumba ya kupanga ni kwa kapuku,siyo kwa mwenye hela,wewe unaye bangaiza kulipa kodi ya afu 50 kwa mwezi ni tofaut na yule anaye lipa laki 3 kwa mwezi. Pia tambua kuwa siyo kila aliye panga hana uwezo wa kujenga..ni malengo na vipaumbele
Wewe kapuku upanue vyanzo vya kipato chako ili uwe taita pia,siyo kwenda kuzika pesa.Ndio maana kwa sisi makapuku kujenga nyumba ni hitaji la muhimu sana.
Nyie ma taita huwa mnalala hata kwenye merikebu zenu.
Au Hoterini maisha yenu yote.
Mkuu umejitahidi sana kuelimisha na waelewa wamekuelewa. Mtu anaishi kwenye nyumba ya gharama halafu chakula ni ugali tembele, maisha gani haya?Wewe kapuku upanue vyanzo vya kipato chako ili uwe taita pia,siyo kwenda kuzika pesa.
Na wote wasipo jenga utaenda kupanga wapi?Kila mtu akijenga waliojenga nyumba za kupanga watazifanyia nini?
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Wewe hujamwelewa mtoa mada! Anamaanisha kujenga bila kuwa na uchumi wa uhakika ni Umasikini!Na wote wasipo jenga utaenda kupanga wapi?
Ww kama huna uwezo wa kujenga kaa kimia na sio kuja humu kubwabwaja na kuwaponda walio jenga hali yakuwa ww na familia yako wanaishi kwenye nyumba zao.
Unajua kusema kweli watanzania wengi hawana elimu ya fedha!Watu wameidandia mada bila kuelewa vizuri
Hizi kitu ni rahis kuzizungumza.. biashara... Kukuza kipato . Kuimarika ... Mm biashara iliyonipa hela nkajenga nakomaa hiyohiyo kwanza mpaka nimalize ujenz.Wewe hujamwelewa mtoa mada! Anamaanisha kujenga bila kuwa na uchumi wa uhakika ni Umasikini!
Mfano unajenga nyumba ya million 100 kwa kijibana unakaa humo lakini mifumo yako ya fedha ishaharibika utakomea kuishi maisha duni tu!
Lakini mtu akiwekeza hiyo hela na akaanza kujenga taratibu bila kuharibu capital yake ina maana atajenga na atamaliza nyumba yake akiwa na uchumi wake imara!
Ukijenga unajipa ubaba mwenye nyumba. Kodi yako kila mwezi unjilipa mwemyew, tayari ushajipa chanzo cha mapato yako.Unajua kusema kweli watanzania wengi hawana elimu ya fedha!
Kujenga sio vibaya ila kujenga tu bila kuimarisha misingi ya kifedha ni kitu hatari sana!
Mfano umepanga sehemu lakini mwenye nyumba anaishi maisha duni,kula anakula matembele daily pia ada za watoto zinasumbua!
Mimi naamini kabisa ukiwa na uchumi imara utajenga nyumba nzuri na bado uchumi wako utakuwa imara lakini haya mambo ya kujenga bila mipango kwanza ya kuwa na njia imara za maokoto hapana aese!
SahihiUnajua kusema kweli watanzania wengi hawana elimu ya fedha!
Kujenga sio vibaya ila kujenga tu bila kuimarisha misingi ya kifedha ni kitu hatari sana!
Mfano umepanga sehemu lakini mwenye nyumba anaishi maisha duni,kula anakula matembele daily pia ada za watoto zinasumbua kila siku kukopa fedha na usumbufu kibao!
Mimi naamini kabisa ukiwa na uchumi imara utajenga nyumba nzuri na bado uchumi wako utakuwa imara lakini haya mambo ya kujenga bila mipango kwanza ya kuwa na njia imara za maokoto hapana aese!
Biashara zipo nyingi unaweza kuwa na eneo lako ukaanzisha ufugaji wa kuku na mifugo mingine then biashara ikimama unaanza kujenga!Hizi kitu ni rahis kuzizungumza.. biashara... Kukuza kipato . Kuimarika ... Mm biashara iliyonipa hela nkajenga nakomaa hiyohiyo kwanza mpaka nimalize ujenz.
OVA.
Kaka sio wote wenye nyumba wanaishi maisha mazuri the Same to wapangaji!Yaani masikini anayeteseka akiwa kwake ni mjinga kuliko masikini anayeteseka akiwa kapanga? Upuuzi mwingine hauna maana.
Inshort, baba mwenye nyumba masikini ni tajiri kuliko baba mpangaji masikini sababu yeye na umasikini wake aliweza kuhifadhi akajenga.
Kujenga ni sahihi katika hali yoyote ile. Ukikosa yote utarudi kula hayo matembere uliyopanda nje kwako. Sasa huna kodi hizo tembere utachuma wapi? Stand za mabasi?Unajua kusema kweli watanzania wengi hawana elimu ya fedha!
Kujenga sio vibaya ila kujenga tu bila kuimarisha misingi ya kifedha ni kitu hatari sana!
Mfano umepanga sehemu lakini mwenye nyumba anaishi maisha duni,kula anakula matembele daily pia ada za watoto zinasumbua kila siku kukopa fedha na usumbufu kibao!
Mimi naamini kabisa ukiwa na uchumi imara utajenga nyumba nzuri na bado uchumi wako utakuwa imara lakini haya mambo ya kujenga bila mipango kwanza ya kuwa na njia imara za maokoto hapana aese!
Utajiri gani wa baba mwenye nyumba masikini? Atazikwa na hiyo nyumba?Yaani masikini anayeteseka akiwa kwake ni mjinga kuliko masikini anayeteseka akiwa kapanga? Upuuzi mwingine hauna maana.
Inshort, baba mwenye nyumba masikini ni tajiri kuliko baba mpangaji masikini sababu yeye na umasikini wake aliweza kuhifadhi akajenga.
Mkuu, huna uchumi imara ila una pa kulaza fuvu vs huna uchumi imara na huna pa kulaza fuvu kipi bora?Kaka sio wote wenye nyumba wanaishi maisha mazuri the Same to wapangaji!
Mwenye nyumba na aliyepanga wote wanahitaji vitega uchumi imara!
Wanaouzaga nyumba sio wajinga kuna kitu huwa hakiko sawa kiuchumi!
Maisha ni unapokuwa hai. Achana na makaburi boss.Utajiri gani wa baba mwenye nyumba masikini? Atazikwa na hiyo nyumba?
Hawa wanataka kutuaminisha kujenga nyumba ndo kuwa na maisha mazuri!Utajiri gani wa baba mwenye nyumba masikini? Atazikwa na hiyo nyumba?
Nachomaanisha masikini kama unaona kabisa huna kipato cha kuanzisha ujenzi basi hicho kidogo peleka kwenye msosi, mavazi na mengine huku ukiendelea kuimarisha vyanzo vya pesa. Vyanzo vikiruhusu Jenga.Maisha ni unapokuwa hai. Achana na makaburi boss.
Sasa upo hai, masikini, huna nyumba vs upo hai masikini na huna nyumba. Hali ipi ni bora?