Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

Kama miaka 70 ni midogo basi mimi mwenye 50 bado nanyonya.
 
Mimi ninachoweza kusema ni kwamba kwa umri wake wa miaka 70, mwendo ameupiga
 
Siyo hiyo tu, aliwahi undia zengwe watu kibao wakafukuzwa kazi kisa wamegoma rushwa
 
Wote walikufa wamelaaniwa?
 
Mare speculation! Hajafa kwa sababu alidhurumu ardhi ya kanisa!amekufa kama wanavyokufa wengine, hz story za kusubili kitu kitokee, ndio mtoe sababu ni upuuzi, hakuna mwana CCM msafi kuanzia Mwinyi na Warioba, wote ni majizi tu
 
Mimi nimekuelewa. itoshe kusema, duniani tulikuja watupu na tutaondoka watupu. Alale alipoandaliwa na Muumba wake.
 
Aisee eti kanisa ni moja tu Romani katoliki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Mare speculation! Hajafa kwa sababu alidhurumu ardhi ya kanisa!amekufa kama wanavyokufa wengine, hz story za kusubili kitu kitokee, ndio mtoe sababu ni upuuzi, hakuna mwana CCM msafi kuanzia Mwinyi na Warioba, wote ni majizi tu
Ni mkuu CCM hakuna mtu msafi nasema tena hakuna.
 
Mare speculation! Hajafa kwa sababu alidhurumu ardhi ya kanisa!amekufa kama wanavyokufa wengine, hz story za kusubili kitu kitokee, ndio mtoe sababu ni upuuzi, hakuna mwana CCM msafi kuanzia Mwinyi na Warioba, wote ni majizi tu
Kifo ni hitimisho. Lowassa hakuwa na maisha ya furaha kwa zaidi ya miaka 25 baada ya tukio lile.
 
EL alishinda uchaguzi mkuu kwa 65% huku Jiwe akiambulia 35% ila CCM na usalama wao wakampora mzee wa watu.

RIP comred, ila urais ukiupata na wote hata wana CCM wanalijua hilo
 
Yote hayo tisa. 10 hili la mkataba wa MOU kati ya kanisa na serekali. Hii ndio imejenga misingi mibovu ya watendaji wanaosomeshwa kupitia MOU. Hili litaitafuna nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…