Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

Tukiomba ushahidi wa ulichoandika utaanza kula kucha.
Nenda eneo husika. Jengo lakaribia ghorofa nne, mkabala na kituo cha OilCom ni la mwamba marehemu. Jengo la ghorofa linatamana na majengo ya kanisa ni la rafiki yake marehemu, Kimbisa.
Eneo hilo lote , block nzima liliporwa kutoka eneo la kanisa.
 
Duh 🙄!
Pumzi huwa inatudanganya sana sisi binadamu !🙏
 
Kama hujui, hujui tu.
Nimekueleza jinsi kiwanja hicho kilivyopatikana we unakuja na blah blah.
.
Nenda pale Tangi bovu ujionee jengo alilo jijengea baada ya kupora uwanja.
Vile vile kuna jengo la Kimbisa na nyumba ya dada yake Lowassa kule nyuma.
Mshabikieni Edo kama mmefaidika naye, lakini ukweli always catches up.
Wewe ni MPUMBAVU tu. Ni nani kakuambia kuwa hayo majengo hayana biashara? Kwani unajuwa soko la Real Estate likoje nchini kwa sasa?

Usitegemee Tangi bovu ikue kibiashara kama ilivyo Makumbusho au Mwenge. Kila mahali pana factors zake zinazoathiri biashara lakini siyo hizo PUMBA zako
 
Msituhumu watu kipumbafu bila ushahidi usioacha shaka tena usimhukumu mwenzio kuwa mdhambi na kudiriki kusema eti dhambi yake haisameheki!! Labda kama wewe ni shetani mbobevu au pepo mwandamizihuko kuzimuni...
RIP Lowassa...
Kunawatu hawajawahi kuifanyia hii nchi lolote la maana zaidi ya kupiga mdomo mchafu na kubaka mahausigeli
Na wewe ukiwemo,huna jipya labda kufua kondom
 
Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki.

Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema, maisha ni kitabu, tuishi vyema ili watakao kisoma kitabu chako cha maisha, wafurahie hadithi ya maisha yako.

Hisia zangu ni ile miaka ya 94-2000 ambapo Lowassa alikuwa waziri wa Ardhi.
Alitenda kosa ambalo kimsingi nikajiambia, huyu mzee kajichotea laana isiyosameheka.
Lowassa kama watu wengi wa kaskazini wanapenda sana ardhi, iwe ya kudhulumu au haki.
Katika hili nasikitika kusema alidhulumu ardhi ya KKKT Mbezi Beach, pale Tangi Bovu.

Mzee mmoja maarufu anaitwa Arnold Kileo, alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Breweries. Mzee Kileo alitoa ardhi yote karibia eka tatu au nne kwa kanisa, kama sadaka yake.
Naamini kabla ya kutoa ardhi hiyo ,mzee Kilewo aliomba kwa Mungu.

Maaombi yalipoenda wizarani kubadili jina, kiwanja kikakatwa nusu bin nusu.
Nusu moja akajimilikisha kwake Lowassa, ndugu zake na marafiki, kina Kimbisa, na nusu ndiyo akakibakishia kanisa.

Waumini wa hapo walishangaa kwani walijua Lowasa ni Mluteri, kwa nini afanye vile?
Wakamwomba Baba Askofu Sendoro akamwone waziri na kumsihi arudishe ile nusu ya eneo, Lowassa alikataa.

Alipokataa Baba Askofu alishukuru na kumtakia heri, Lawassa asijue kuwa hapo tayari ndipo laana ilipotoka.

Cha kushangaza, kila aliyeweka mradi katika kile kiwanja kilichoporwa, mradi ulikufa, TANESCO walikodi ofisi pale wakaishia kuhama. Ilikuwepo supermarket ya Imalaseko, Dry Cleaner na Gym , vyote vimekufa.
Hata jengo lililo na benki ya NMB pale nayo linakosa wapangaji.

Tukija kwa ndugu yetu Lowassa ,safari yake ya kisiasa ilienda kusuasua. Hata zlipochaguliwa waziri Mkuu, hakudumu.
Lowassa akakosana na rafikiye mkubwa, Jakaya Kikwete, na marafiki hao wakawa maadui.
Mwisho alihama CCM kabisa, na uamuzi bado haukuwa na tija, akarudi.
Lowassa akawa kama mwanasiasa anayetangatanga nyikani.

Pale kanisa la Mbezi KKKT, Lowassa hakuwahi kuslikwa shughuli yoyote ya harambee, ingawaje Sumaye alialikwa mara nyingi.

FUNZO, jamani tumwogope Mungu na tumtumikie hata tukiwa na vyeo vikubwa.
Kwa kufariki akiwa na miaka 70, Lowassa alikuwa bado mdogo mwenye miaka si chini ya 15-20 mbele. Lakini yote ni mapenzi ya Mungu RIP Edward Ngoyai Lowassa.
maelezo meeeeengi lakini pumba tupu!
 
Wewe ni MPUMBAVU tu. Ni nani kakuambia kuwa hayo majengo hayana biashara? Kwani unajuwa soko la Real Estate likoje nchini kwa sasa?

Usitegemee Tangi bovu ikue kibiashara kama ilivyo Makumbusho au Mwenge. Kila mahali pana factors zake zinazoathiri biashara lakini siyo hizo PUMBA zako
Waeleze wajinga wenzio wakapange pale.
 
Upuuzi mtupu, eti laana ilipoanzia!!? Hivi unajua huyu binadamu anaukwasi kiasi gani? Unajua Mwalimu nyerere aliwahi kuwa na mashaka na ukwasi wake? Unajua amezishika pesa tangu utawala wa Mwalimu? Yani lowasa adhulumu eka 1½ ya kanisa? Umerogwa?
Kanisa lenyewe lipi hilo? Kanisa linalichaguliwa maaskofu na ssirikali? Hilo kanisa?
Kanisa ni moja tu Duniani, Roman Catholic basi, gusa huo moto unase.
Hili lilio ruhusu baraka kwa mashoga au lipi?
 
maisha ni vita ndugu yangu
halafu huwenda alitubu
Kutubu inawezekana mtu akatubu lakini katika toba huwa tunatakiwa tuyajutie yote tuliyoyatenda yale ya dhambi na kuahidi kutoyatenda tena makosa yale !
Kwa wanasiasa Naona hii toba haiwahusu maana wanasiasa bila fitna fitna na kudhalilisha wale wanaowaogopa katika maslahi yao ya kisiasa ni kitu hakiwezekani kabisa kabisa !!
😅😅🙏🙏🙏.
Kwahiyo toba kwao ni ngumu sana 😅😅🙏🙏
 
Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki.

Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema, maisha ni kitabu, tuishi vyema ili watakao kisoma kitabu chako cha maisha, wafurahie hadithi ya maisha yako.

Hisia zangu ni ile miaka ya 94-2000 ambapo Lowassa alikuwa waziri wa Ardhi.
Alitenda kosa ambalo kimsingi nikajiambia, huyu mzee kajichotea laana isiyosameheka.
Lowassa kama watu wengi wa kaskazini wanapenda sana ardhi, iwe ya kudhulumu au haki.
Katika hili nasikitika kusema alidhulumu ardhi ya KKKT Mbezi Beach, pale Tangi Bovu.

Mzee mmoja maarufu anaitwa Arnold Kileo, alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Breweries. Mzee Kileo alitoa ardhi yote karibia eka tatu au nne kwa kanisa, kama sadaka yake.
Naamini kabla ya kutoa ardhi hiyo ,mzee Kilewo aliomba kwa Mungu.

Maaombi yalipoenda wizarani kubadili jina, kiwanja kikakatwa nusu bin nusu.
Nusu moja akajimilikisha kwake Lowassa, ndugu zake na marafiki, kina Kimbisa, na nusu ndiyo akakibakishia kanisa.

Waumini wa hapo walishangaa kwani walijua Lowasa ni Mluteri, kwa nini afanye vile?
Wakamwomba Baba Askofu Sendoro akamwone waziri na kumsihi arudishe ile nusu ya eneo, Lowassa alikataa.

Alipokataa Baba Askofu alishukuru na kumtakia heri, Lawassa asijue kuwa hapo tayari ndipo laana ilipotoka.

Cha kushangaza, kila aliyeweka mradi katika kile kiwanja kilichoporwa, mradi ulikufa, TANESCO walikodi ofisi pale wakaishia kuhama. Ilikuwepo supermarket ya Imalaseko, Dry Cleaner na Gym , vyote vimekufa.
Hata jengo lililo na benki ya NMB pale nayo linakosa wapangaji.

Tukija kwa ndugu yetu Lowassa ,safari yake ya kisiasa ilienda kusuasua. Hata zlipochaguliwa waziri Mkuu, hakudumu.
Lowassa akakosana na rafikiye mkubwa, Jakaya Kikwete, na marafiki hao wakawa maadui.
Mwisho alihama CCM kabisa, na uamuzi bado haukuwa na tija, akarudi.
Lowassa akawa kama mwanasiasa anayetangatanga nyikani.

Pale kanisa la Mbezi KKKT, Lowassa hakuwahi kuslikwa shughuli yoyote ya harambee, ingawaje Sumaye alialikwa mara nyingi.

FUNZO, jamani tumwogope Mungu na tumtumikie hata tukiwa na vyeo vikubwa.
Kwa kufariki akiwa na miaka 70, Lowassa alikuwa bado mdogo mwenye miaka si chini ya 15-20 mbele. Lakini yote ni mapenzi ya Mungu RIP Edward Ngoyai Lowassa.
Hata familia yetu alitunyang'anya kiwanja mbezi beach kipindi hicho, alikuwa mrafi , mwizi na mporaji .Mungu amuweke palipostahili
 
Humjuu Eddo wewe na Lutherani! Nenda monduli alitoa eneo kubwa Sana kwa ajiri ya kanisa!!. Na kanisa walitaka kujenga vyuo pale ila serikali ukakataa na kudai itavitaifisha!. Kumuongeleo Eddo vibaya juu ya lutheri ni kupotosha umma.
 
E. Lowassa anaidai CCM Arusha zaidi ya Bil. 5 alizowakopesha, kama kuna Mjumbe yeyote wa CCM hapa akanushe
Mjinga wewe, alikuwa na biashara gani kuwekeza bilioni 5.
Na angezirudisha vipi?
Mnaotetea wezi mnatutia kichefu chefu.
 
Back
Top Bottom