Masikini tulio wengi tunakula kimazoea, mshahara wako 400k ila una kitambi

Masikini tulio wengi tunakula kimazoea, mshahara wako 400k ila una kitambi

Kwani kijana wako wa 18yrs anaupungufu gani wa afya unao mlazimisha mpaka anywe chai kila siku? Hapo unafikili hao wenye 50+ walianzia hapo hawajawihi kua 18yrs matatizo mengi ya afya huanzia udogoni mkuu.
mwanangu lazima apate breakfast ya nguvu mayai,maziwa ,matunda kwa Santa Mimi baba yake nimekuwa hivyo nipo mtu mzima na nipo fit.

Unafikiri serikali ilipotangaza itatoa uji na chakula shuleni sababu njaa ilichangia ufaulu hafifu then anatoa huyu nguli anasema watu wasipate kifungua kinywa kwa wazee sawa ila kwa vijana wanaokuwa hapana.

Na wale wa mashambani wanaamka saa 11 mashambani kupiga jembe unataka wakae njaa mpaka saa 8 ndio wale chakula you are joking my friend.
 
Tabia mbaya ya ulaji ni hatari sana, siku hizi Kuna hii tabia ya "visahani" unakuta watu watatu wanashughulika na sinia kubwa lenye kila chakula, vyakula vingi vya kwenye hivyo visinia ni Fat + wanga kwa wingi hapo afya ya moyo inakuwa matatani.

Ulaji huu ni msukumo wa ulafi na tamaa isiyo na kiasi.

Tusimbeze Dr. Janabi, ni mudau wa afya aliyeamua kuusema ukweli.

Katika hili msikilize pia jamaa mmoja mhindi anaitwa Sandhguru.
Sawa kabisa kichwa kimoja kipo deep sana kwenye meditation..
 
Mm naomba kujua mtu mwenye miaka 20-25 anatakiwa awe na uzito kiasi gani ? Na jee ikiwa yupo pungufu au zaidi ya hapo nini kifanyike ?
 
Jamani hebu tupunguze masharti hakuna atakae ishi miaka 200, usipende kuweka tumasharti masharti katika kula jasho yako.
Kumbuka pesa yako ni hiyo unayoila hizi vitu na mali tutaviacha na wataviuzi na wao wale.
Usiendekeza maneno ya watu kuhusu kunenepa kwako.
Unafuata maelekezo yote ya mlo kisha unakuja kufa kwa ajali ya Bodaboda!
 
“Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai.

Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana, mimi binafsi chochote nachokula wasaidizi wangu wanajua nakula saa 6, halafu usiku nakula saa2 usiku, kuna siku naanza kula saa8 mchana matunda halafu nakula saa12 mpaka kesho”, Prof.Mohamed Janabi, Mshauri wa Rais na mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili.


Watu tulipata kitambi kwenye Boom la Chuo wewe unazungumzia mshahara 400k kwa mwezi.

Kitambi ubaya wake ni nguo hazikai mwilini
 
Back
Top Bottom