Masikini tulio wengi tunakula kimazoea, mshahara wako 400k ila una kitambi

Masikini tulio wengi tunakula kimazoea, mshahara wako 400k ila una kitambi

Breakfast ndio chakula ambacho mtu anatakiwa ale vizuri na ashibe pamoja n lunch. Usiku ndio sio lazima
Breakfast is often called 'the most important meal of the day'

And for good reason,As the name suggests, breakfast breaks the overnight fasting period,
It replenishes your supply of glucose to boost your energy levels and alertness, while also providing other essential nutrients required for good health.
 
Tena kwa Sisi waafrika wazee wa Kazi ngumu kutuambia tusile asubuhi au mill mitatu ya nguvu ya wanga ni kutukosea Sana.

Ushauri wa afya uendane na jamii husika.
Hivi mkulima wa jembe la mkono utamwambia asile Ugali wa Dona ale tuu sijui matunda na maziwa kweli
 
Breakfast is often called 'the most important meal of the day'

And for good reason,As the name suggests, breakfast breaks the overnight fasting period,
It replenishes your supply of glucose to boost your energy levels and alertness, while also providing other essential nutrients required for good health.
Its right, but breaking the fast has no definite time, you can break your first even at noon, not necessarily at 7am, or at 6am......
 
Tangu nipate ushauri wa huyu dakitari nimefanikiwa kupunguza uzito nimekata 10kg ndani ya miezi sita, mambo ya kuenda gym ili upunguze uzito ni kupoteza mda bure, mchawi ni chakula punguza milo yako, na ule kuzingatia diet uzito utapungua na possibilities za kupata pressure kisukali zitapungua.
Sahihi kabisa
 
The best time to breakfast is from 6 to 10 pm
This is the healthiest time for breakfast.
My self I go to bed at 2am, I eat my last meal at 9pm iwake up at 10am i break my fast at noon, what side effect will I get from my daily routine?
 
“Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai.

Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana, mimi binafsi chochote nachokula wasaidizi wangu wanajua nakula saa 6, halafu usiku nakula saa2 usiku, kuna siku naanza kula saa8 mchana matunda halafu nakula saa12 mpaka kesho”, Prof.Mohamed Janabi, Mshauri wa Rais na mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Kwaio sisi tunaopata 359k tusiwe na kitambi..

Hii ni principal nilipewagwa..

""AKILI IKINONA MWILI LAZIMA UONGEZEKE""
SISI WENGINE AKILI ZETU ZIMENONA HIVYO MWILI LAZIMA UONGEZEKE AUTOMATICALLY.

Binafsi Mimi sijawai penda kua mwembamba abadani napenda Sana huu MWILI wangu wa ubonge hizi 85kg zinanitosha sana
 
Ushauri naoukubali ni umri kuanzia 35+ kupunguza wanga,sukari,vyakula vya mafuta na mazoezi kwa wingi .

Umri kuanzia 45-55 kupunguza Milo hata miwili kwa siku ikiwezekana bila ya kusahau mazoezi mepesi.

lakini watoto na vijana umri miaka 2-25 wanahitaji mno chakula Bora katika makuzi yao ikiwemo Milo 3 ,breakfast,lunch na dinner ,Prof asituchanganye.
 
Wanawake hawaelew,ukitaka kupangilia kula lazima avuruge,utabembelezwa kula mpaka basi

Haya maisha n vizur kuishi peke yako
Hahahaha boss,wewe Ni kichwa Cha familiya,panga naye jinsi ya kukuandalia,ajue unachotaka na usichotaka,akubembelezee hivyo unavyotaka
 
Na Prof anapozungumzia nguvu za kiume hilo liko wazi kadri umri unavyosogea na nguvu za kiume kwa wanaume zinapungua Mzee wa miaka 70 hawezi kuwa na nguvu za kiume sawa na kijana wa miaka 22 cha ajabu ushauri wake upo too general haijulikani mada zake ana lenga Rika lipi!
 
Ushauri naoukubali ni umri kuanzia 35+ kupunguza wanga,sukari,vyakula vya mafuta na mazoezi kwa wingi .

Umri kuanzia 45-55 kupunguza Milo hata miwili kwa siku ikiwezekana bila ya kusahau mazoezi mepesi.

lakini watoto na vijana umri miaka 2-25 wanahitaji mno chakula Bora katika makuzi yao ikiwemo Milo 3 ,breakfast,lunch na dinner ,Prof asituchanganye.
Wewe ndo dskitari nani mkuu? Au ni maoni yako kutokana na jinsi unavo penda.
 
KWan furushi langu linakukwaza mkuu?.
Kila mtu na maisha yake mazee. Atakuja mwingne atasema msile na hamtokula manina
Ni ushauri kwa ajiri ya afya yako masikini kufa kwa ajiri ya bloodpressure sio poa, jua bloodpressure unasababisha na mafuta mengi mwiling mpaka kuleta constral katika mfumo wa mishipa
 
Back
Top Bottom